Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Mfumo wa wengi wape kupitia sanduku la kura ni mfumo wa hovyo samahani kwa kusema hivi.
Mfano wa Tanzania wananchi wengi wa Tanzania ni wajinga wajinga huwezi tegemea kundi kubwa la watu wajinga wajinga wakachagua kilicho bora kwao.
Watu wasiojua uelekeo wa dunia, watu waliozalishwa na mfumo mbovu wa elimu, watu walioathirika na mapokeo mabovu ya kiimani, watu walioathirika na ushabiki wa hovyo wa vyama vya kisiasa uwezo wao wa kufikiri kuhusu dunia na uelekeo wake kwa mapana lazima uwe hafifu sasa huwezi tegemea watu wa namna hii watachagua kilicho bora kwa ajili ya taifa na dunia kwa ujumla.
Huu mfumo wa wengi wape hauna maana kama hao wengi ni wapumbavu lazima watachagua mpumbavu mwenzao mmoja na kuleta maafa.
Hii hali inatokea sasa marekani ndio maana kuna wakati nawaelewa wachina pamoja ya kwamba sikubaliani na mfumo wao ila angalau wanajua nini maana ya siasa na uongozi.
Trump ni zao la wamarekani wengi wajinga kupewa uwezo wa kutoa maamuzi kupitia sanduku la kura.
Kutokukubaliana na mfumo huu haimaanishi nakubaliana na mfumo huu wa CCM.
Naona meritocracy inaweza kuwa chaguzi bora kuliko huu upuuzi wa wengi wape kupitia sanduku la kura.