Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Mumewe anajuwa cha kumfanyaAkatiwe nini
Duh! SawaMumewe anajuwa cha kumfanya
Siwezi kubisha.Amini amini nakwambia trump bi bora kuliko yule mwanamama Harris. Yule mwanamama ni mweupe sana sana we fuatilia interview zake hata hakuna alikuwa anajibu na nyingi ziko edited.
Ulichosema kina mantiki.Mi napendekeza wanaolipa kodi kwa Tin number au Paye kiwe ni kigezo cha kwanza.
Cha pili kiwe ni kufaulu angalau asilimia 60 katika intavyuu ndogo ya kuqualify kupiga kura. Katika intavyuu kutakuwa na swali kama anatambua vyama vingine vya siasa? Ana uelewa wa sera moja mbili tatu??
Kuna muda mambo hayaendi hadi watu wanaweza kupigia kura dikteta. Watu waliichoka democratic na kumpa ushindi trump maana alikuwa anazungumzia mambo yaliyo wachosha. Mfano illegal immigrants sasa ni kilio hadi EUSiwezi kubisha.
Hata ukienda milembe vichaa huzidiana ukichaa kuna wenye uhafadhali kuzidi wengine lakini wote ni vichaa.
Kama watunga sheria tu wengine hata la saba hawakumaliza, kwanini wapiga kura wawe na vigezo hivyoUlichosema kina mantiki.
Tia nyama zaidi karibu
Marekani bila wahamiaji sio marekani tena iwe ni legal au illegalKuna muda mambo hayaendi hadi watu wanaweza kupigia kura dikteta. Watu waliichoka democratic na kumpa ushindi trump maana alikuwa anazungumzia mambo yaliyo wachosha. Mfano illegal immigrants sasa ni kilio hadi EU
Ndio maana nimezungumzia suala la meritocracy system huwezi weka mtu kama msukuma au babu tale akatunga sheria za kuleweka zaidi tu ni uozoKama watunga sheria tu wengine hata la saba hawakumaliza, kwanini wapiga kura wawe na vigezo hivyo
Mimi nachoona ni kufanya reform ya elimu watu wapate elimu bora maana ukiwaacha wachache ndio wachague mwisho nao watakiwa corrupt na kuchagua kwa maslahi yao peke yao kwanza.Ndio maana nimezungumzia suala la meritocracy system huwezi weka mtu kama msukuma au babu tale akatunga sheria za kuleweka zaidi tu ni uozo
Kwa hiyo unaona bora tuongozwe na utashi wa kikundi fulani kinachoangalia maslahi yao binafsi?Mfumo wa wengi wape kupitia sanduku la kura ni mfumo wa hovyo samahani kwa kusema hivi.
Mfano wa Tanzania wananchi wengi wa Tanzania ni wajinga wajinga huwezi tegemea kundi kubwa la watu wajinga wajinga wakachagua kilicho bora kwao.
Watu wasiojua uelekeo wa dunia, watu waliozalishwa na mfumo mbovu wa elimu, watu walioathirika na mapokeo mabovu ya kiimani, watu walioathirika na ushabiki wa hovyo wa vyama vya kisiasa uwezo wao wa kufikiri kuhusu dunia na uelekeo wake kwa mapana lazima uwe hafifu sasa huwezi tegemea watu wa namna hii watachagua kilicho bora kwa ajili ya taifa na dunia kwa ujumla.
Huu mfumo wa wengi wape hauna maana kama hao wengi ni wapumbavu lazima watachagua mpumbavu mwenzao mmoja na kuleta maafa.
Hii hali inatokea sasa marekani ndio maana kuna wakati nawaelewa wachina pamoja ya kwamba sikubaliani na mfumo wao ila angalau wanajua nini maana ya siasa na uongozi.
Trump ni zao la wamarekani wengi wajinga kupewa uwezo wa kutoa maamuzi kupitia sanduku la kura.
Kutokukubaliana na mfumo huu haimaanishi nakubaliana na mfumo huu wa CCM.
Naona meritocracy inaweza kuwa chaguzi bora kuliko huu upuuzi wa wengi wape kupitia sanduku la kura.
Ndio maana nikasema watu wengi walioathirika na mfumo mbovu wa elimu haipaswi kutumika wengi wape maana watakuwa hawajui lolote la maana.Mimi nachoona ni kufanya reform ya elimu watu wapate elimu bora maana ukiwaacha wachache ndio wachague mwisho nao watakiwa corrupt na kuchagua kwa maslahi yao peke yao kwanza.
China ya CCP na CCM ya vyote ni vikundi vidogo tu katika population nzima ya nchi lakini vimejitodautisha.Kwa hiyo unaona bora tuongozwe na utashi wa kikundi fulani kinachoangalia maslahi yao binafsi?
Namba inasoma Eugeni Zenosi BanguNjoo unitawaze
O756809212.
Nilitaka ni confirm kabla sijakupigiaUlitaka isome shindo lako ?