Mfumo wetu wa elimu na watu unaozalisha

Mfumo wetu wa elimu na watu unaozalisha

HUNIJUI SIKUJUI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
1,335
Reaction score
1,641
  1. Unazalisha Maprofesa na PhD's wasio jiamini wala hata ku reason vitu basic kabisa hawawezi hata kusimamia ukweli pia hawawezi (Hili lilionekana waziwazi kwa Mawaziri hasa wakati wa utawala wa mwendazake ) na ndio hao hao wanafundisha watu vyuoni!
  2. Unapiga vita utandawazi na kuaminisha kua maendeleo ya teknolojia ni hatari na yanaharibu vijana ( kwa youtube peke yake unaweza cover syllabus yote bila hata mwalimu) mpaka leo simu/internet zinapigwa vita mashuleni
  3. Unazalisha watu wengi wenye mtazamo wa kuajiriwa ( hauzalishi watu wenye fikra huru ) ni wachache sana hua na mitazamo huru
  4. Muda mwingi watu wanatumia sana darasani kusoma nadharia imagine kwa wale walioenda moja kwa moja mtu mpaka ana miaka 23/24 bado anasoma tu (waste of time) inatakiwa walau mtu ana miaka 21 tayari awe na degree yake kwa wale wa kozi fupi yaani 3yrs
  5. Tafiti, Tafiti, Tafiti kila solution ya tatizo inatokana na tafiti zinazofanywa! Elimu yetu haiwekezi kwenye tafiti ila inawekeza sana kwenye 1+1=2
  6. walio kwenye mfumo wote wanalijua hili lakini no one takes action
tunahitaji kurekebisha mfumo wetu wa elimu kuendana na mahitaji ya sasa
 
Yule waziri abadilishwe wizara maana ameshindwa kufanya mageuzi kwenye mfumo wa elimu
 
Back
Top Bottom