HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,641
kuna haja ya shule zote kua na huduma ya mtandao/ au watoto kuruhusia matumizi ya simu chini ya usimamizi ila sio kuwanyimaInternet/simu/computer ni vitu vya kugaiwa wanafunzi bureee.. umeongea ukweli mkuu πππππππ
ni zao la mfumo huo huo, inahitaji ujasiri kuleta mabadilikoYule waziri abadilishwe wizara maana ameshindwa kufanya mageuzi kwenye mfumo wa elimu