Mfumuko wa Bei: Bei ya nyama imepanda Tsh 8,500 kwa kilo 1

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Mida hii natoka job of course ni weekend so nikajipitisha mitaa ya tegeta nakuta Bei ya nyama ya ng'ombe imepanda kutoka 7000-8500 nikakakausha nikajua mbezi Bei itakuwa pungufu.

Nafika mbezi jirani kabisa na home ambapo huwa nanunua nikakuta Bei imepanda na wao wanauza8500 nilivyouliza wakasema ni sababu ya gharama za mafuta zimepanda hasa ongezeko la Kodi kwenye mafuta ya mgari.

Kodi imeitwa tozo kijanjajanja ilikupumbaza wajinga, tozo ya mafuta ya kula,tozo ya mbolea,tozo ya miamala ya simu, tozo ya majengo, tozo kwenye mishahara, tozo kwenye voucher za simu, tozo za application za simu,tozo ya bima za afya, tozo ya usafi majumbani, tozo ya tozo.

Nimehakikishiwa kuwa kuanzia sasa vyakula vitapanda bei sana maana usafiri imepanda na pia vifaa vya ujenzi.

USSR
 
BAVICHA: Afadhali ya mama anatupiga huku anatugeia na soda,
 

Na Bado inakuja tozo ya oxygen for every breath!


#TutaelewanaTu!
 
Mida hii natoka job of course ni weekend so nikajipitisha mitaa ya tegeta nakuta Bei ya nyama ya ng'ombe imepanda kutoka 7000-8500 nikakakausha nikajua mbezi Bei itakuwa pungufu...
Huyu mbona kama sio wewe si wanaccm huwa mna mabucha yenu, maduka yenu, mbususu zenu n.k ambapo huwa mnapata huduma kwa hati punguzo imekuwaje leo
 
Ile kauli ya kutwambia tuhamie Burundi Bado naifikiria Sana, hivi ilikuwa shibe, dharau, kiburi, ukosefu wa busara au upumbavu uliokubuhu....!

Ni Mungu tu hafundishwi Cha kufanya, ningemshauri amtangulize Burundi yule jamaa ili wengine tunapoenda akawe mwenyeji wetu.
 
Nunua tu sasa utafanyaje au na wewe umetia mgomo kama yule aliyemuonea huruma ng'ombe
 
Mwigulu hafai KABISA kuishi katika jamii ya watanzania[emoji3525]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…