Mfumuko wa Bei: Bei ya nyama imepanda Tsh 8,500 kwa kilo 1

hivi kumbe hata nyie MaCCM mnaathirika na mfumuko huu wabei ulisababishwa na CCM ????
 
wewe si hua muimba mapambio siku zote subiri dawa ikuingie tena wapandishe mpaka ifike 15,000/kg ndo itakua bombaaaaaaa
 
Fala wewe acha lawama za kike
 
Mleta mada waambie MATAGA wenzio sisi wengine tulisha waambia chama chenu hakina nia njema na maisha ya mtanzania wa kima cha chini mlileta porojo na ujuaji.
Sasa tusome namba kwa pamoja kimya kimya..!
 
Baada ya muda afya za watanzania wengi zitakuwa dhoofu sana.cjui tukimbilie wapi
 
Mbaya zaidi hataki kusikia suala la kutuondolea haya makodi uchwara.

Tumemchoka.
 
CCM mbele kwa mbele. Mi nilijua wakereketwa haiwagusi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…