FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,050
- 2,651
kodi inaingia vp hapa?Itakuwa kodi zilizopandishwa bila kufikiria
Mabadiliko ya Kisera yanaendelea yanagusa kidogo mustakabali wa Vitu vingi... Vumilia kidogo utaanza kula mema ya nchi..Nasema uongo ndugu yangu.
Hatari mkuu yaani Kila ukienda nunua kitu unakuta bei sio uliyoicha juzi tenaMama na Ccm wana rekebisha uchumi. Subiri kidogo.
Itakuwa aisee.kila Kona bei Zina shootItakuwa kodi zilizopandishwa bila kufikiria
Hujaeleweka so unakubali sera zipi za Magu ama!!?Magufuli alidhibiti mazao na mifugo visiuzwe nje ya nchi kwa kufunga mipaka maana mazao yangeadimika, fikiria maisha yangekuwaje?
Japokuwa mkulima alikuwa hanufaiki lakini faida ni kubwa kuliko hasara, maana mahindi mchele mifugo n.k walahi tungetafutana
gharama za usafirishaji zimepanda pia baada ya bei ya mafuta kupandaNyama, mahindi, maharage, tangawizi kuna masoko nje yamefunguka yanahitajika kweli. Zinaweza panda zaidi.
Wananchi wenyewe pesa hazionekani kiongoziNdiyo Pesa Zipo Mifukoni Mwa Wananchi
Kwa hiyo ni sababu ya ile TSH 100 kwenye Kila Lita ya mafuta?gharama za usafirishaji zimepanda pia baada ya bei ya mafuta kupanda
fikiri kama mtu mwenye elimu hata unaweza hata kutumia internet. Sera hiyo ilikuwa ya hovyo sana na ilidumaza maisha ya wakulima ambao ni zaidi ya 70% ya watanzania wote. Ilikuwa sera ya hovyo iliyoasisiwa pasipo kufanyiwa utafitiMagufuli alidhibiti mazao na mifugo visiuzwe nje ya nchi kwa kufunga mipaka maana mazao yangeadimika, fikiria maisha yangekuwaje?
Japokuwa mkulima alikuwa hanufaiki lakini faida ni kubwa kuliko hasara, maana mahindi mchele mifugo n.k walahi tungetafutana
usiione ndogo mkuu. maisha hayaonwi kwa issue moja.....hiyo sh 100 ina mlolongo wa athari nyingi kuanzia athari yake kwenye pembejeo mpaka usafirisha na uuzaji....ni mnyororo. Ndiyo sababu watunga sera na watoa maamuzi wanapaswa kuwa makini sanaKwa hiyo ni sababu ya ile TSH 100 kwenye Kila Lita ya mafuta?