JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Hii ni kama booster. Petroli kwenye kishungi cha moto.gharama za usafirishaji zimepanda pia baada ya bei ya mafuta kupanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kama booster. Petroli kwenye kishungi cha moto.gharama za usafirishaji zimepanda pia baada ya bei ya mafuta kupanda
Unatafuta kutukanwa na waunga juhudiSalaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000.Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/...
Waione CCM..UVCCM..JUMUIYA YA WAZAZI.Hayo ndo madhara ya rais kufariki akiwa madarakani, nchi inakosa uthibiti kabisa.......tunaposema mchakato wa katiba mpya uanze ni pamoja a kuweka sawa mambo kama haya ya succession plan. Haiingii akilini mtu ambaye hachaguliwa kwa kura kwenye nafasi kubwa kama ya rais asimikwe kwenye nafasi hiyo kwa miaka zaidi ya minne. Kwa uelewa wangu madaraka ya rais hayawezi kukaimiwa kwa zadi ya miezi sita kabla ya kufanya uchaguzi upya.....
Nyumisi, wakati unachagua wa kumpigia kura huwa humpimi mgombea mwenza/msaidizi?Hayo ndo madhara ya rais kufariki akiwa madarakani, nchi inakosa uthibiti kabisa.......tunaposema mchakato wa katiba mpya uanze ni pamoja a kuweka sawa mambo kama haya ya succession plan. Haiingii akilini mtu ambaye hachaguliwa kwa kura kwenye nafasi kubwa kama ya rais asimikwe kwenye nafasi hiyo kwa miaka zaidi ya minne. Kwa uelewa wangu madaraka ya rais hayawezi kukaimiwa kwa zadi ya miezi sita kabla ya kufanya uchaguzi upya.....
Yule mpumbavu si ndio alikuwa akiwaambia wakulima wauze bei juu mazao wanaolalamika wakalime wao?Magufuli alidhibiti mazao na mifugo visiuzwe nje ya nchi kwa kufunga mipaka maana mazao yangeadimika, fikiria maisha yangekuwaje?
Japokuwa mkulima alikuwa hanufaiki lakini faida ni kubwa kuliko hasara, maana mahindi mchele mifugo n.k walahi tungetafutana
Mkuu wananchi huwa wana concentrate zaidi na rais kuliko makamu wa rais, hili swala inabidi liangaliwe vizuri kwenye katiba mpya...Nyumisi, wakati unachagua wa kumpigia kura huwa humpimi mgombea mwenza/msaidizi?
Maana yeye uliyemchagua anachagua mtu ambaye ikitokea hayupo basi anaamini atamalizia kazi yake vizuri. JPM mara mbili zote aliamua kwenda na Samia.
Mfano, mgombea akasimama na mgombea mwenza shoga utampa kura?
Katiba mpya itapatikana tu hakuna shaka. Ni suala la muda.
Si tulitaka soko huria ,ukiamua kula mboga za majani hutakufa,tumia miti kupiga mswaki tena inasugua vizuri ukifanya hivyo bei ya nyama na dawa ya meno itashukaSalaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000.Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote kutoka mamlaka za serikali kuhusu hili. Je Kuna inflation inapiga raia kimya kimya na serikali haitaki tamka rasmi?.
Wataalamu naombeni uchambuzi ni ni kimesababisha Hali hii ghafla hivi.
Kwa wapambanuaji wataelewa.Kwa watakaotaka tukana watakuwa wamekosa tu weledi maana nilichokisema hapa lipo kiuhalisia kabisa MTAANI.
Mpaka maccm yanyoke kwanza ndio tutashusha bei.Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000.Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote kutoka mamlaka za serikali kuhusu hili. Je Kuna inflation inapiga raia kimya kimya na serikali haitaki tamka rasmi?.
Wataalamu naombeni uchambuzi ni ni kimesababisha Hali hii ghafla hivi.
Upo sahihi. Ila kwa sasa katiba inaelekeza makamo kuongoza akiwa raisi, Samia ni raisi, aheshimiwe kwa cheo chake. Tukishindwa kuheshimu katiba iliyopo mpya haitakuwa na maana.Mkuu wananchi huwa wana concentrate zaidi na rais kuliko makamu wa rais, hili swala inabidi liangaliwe vizuri kwenye katiba mpya...
Mkuu tatizo inagusa Kila mtu kwa Sasa.Mpaka maccm yanyoke kwanza ndio tutashusha bei.
Na vifaa vya ujenzi? Navyo masoko ya nje yamefunguka?Nyama, mahindi, maharage, tangawizi kuna masoko nje yamefunguka yanahitajika kweli. Zinaweza panda zaidi.
Na vifaa vya ujenzi? Navyo masoko ya nje yamefunguka?
Ukweli ni kuwa Kuna inflation
Wapi ukoSalaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000.Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote kutoka mamlaka za serikali kuhusu hili. Je Kuna inflation inapiga raia kimya kimya na serikali haitaki tamka rasmi?.
Wataalamu naombeni uchambuzi ni ni kimesababisha Hali hii ghafla hivi.
Inflation humgusa kila mtu hata mtumishiKuna inflation ndio. Na si jambo baya kwa mfanyabiashara na mwanachi mwenye shughuli zake. Ni mbaya kwa mnyonge anayetaka nchi ya ujamaa asilimia 100.
Inflation inakuwa mbaya endapo ikivuka mstari pesa ikawa nyingi sana mtaani kuliko bidhaa. Na hii itatokea kama wanyonge watakuwa wengi kuliko wachakarikaji.
Vifaa vya ujenzi ni sahihi kabisa kupanda maana
demand sasa inaongezeka na mafuta petrol pia yameongezeka bei, watu/mashirika yameanza kurudi sight kwa kasi huku bidhaa zikiwa chache sokoni kutokana na madhara ya covid.
Wewe mwananchi unachotakiwa kufanya ni kujiweka sehemu ambayo pesa itakupitia kwa kuongeza uzalishaji na kuhimiza serikali mishahara iongezwe kukuza uhitaji wa shughuli zako.
Mama kafungua geti hela inaingia mitaani...😀😀😀😀Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000.Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote kutoka mamlaka za serikali kuhusu hili. Je Kuna inflation inapiga raia kimya kimya na serikali haitaki tamka rasmi?.
Wataalamu naombeni uchambuzi ni ni kimesababisha Hali hii ghafla hivi.
Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!