Hii ishu inaniuma Sana yaan biashara hizi zitapumulia mashine hasa tusio na store ya bidhaa ,,subab white wash ilikuwa 55k Sasa Ni 66 yaan vile vipande vya Mia tatu Sasa tuuze mia tano ...nchi hii khaaaSalaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000.Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote kutoka mamlaka za serikali kuhusu hili. Je Kuna inflation inapiga raia kimya kimya na serikali haitaki tamka rasmi?.
Wataalamu naombeni uchambuzi ni ni kimesababisha Hali hii ghafla hivi.