Hii ndio point,Lile kundi wa mashetani alilopiga pin magufuli limerejeshwa na Amirat Jeshi.
Niko Georgia. Hivi $100 unaijua kweli?! Au ulikua unamaanisha dollar 1Upo jimbo gani?
Hakubana, alipora pesa za wafanyabiashara wa beaure de change.Hii ndio point,
Mzee alikuwa commited kukontrol ujinga ujinga lakin mapuuzi yaliolaaniwa yanamponda, ilikuwa watu wanahodhi dola ili zipande bei akawajua akabana mwanya, kila penye inflation akabana mwanya, sasa wameingia furahieni show....na bado nishati ya umeme mtakuja shuhudia matukio heavy.
Uzuri wote tunaguswa na matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Georgia, ookey.. naamini hilo jimbo kuna huduma za Eat Pro. Embu agiza overcado desert ikifikia angalia prica tag.Niko Georgia. Hivi $100 unaijua kweli?! Au ulikua unamaanisha dollar 1
Mafuta yakishapanda haya mambo mengine yote lazima yafuatie. Ndio maana kuna kila sababu ya kuhakikisha tunatumia nishati ya ndani yenye bei nafuu ili kupunguza makali ya kupanda kwa mafuta.Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000. Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote kutoka mamlaka za serikali kuhusu hili. Je, Kuna inflation inapiga raia kimya kimya na serikali haitaki tamka rasmi?
Wataalamu naombeni uchambuzi ni ni kimesababisha Hali hii ghafla hivi.
Camoon! Hapa tunazungumzia fresh food from supermarket. Ukiagiza online lazima itakuja na gharama ya kuandaa hiyo desert + delivery cost so lazima iwe expensive though haitafika dollar 100.Georgia, ookey.. naamini hilo jimbo kuna huduma za Eat Pro. Embu agiza overcado desert ikifikia angalia prica tag.
Iwe from Africa sio mexico.
Parachichi kutoka Africa ni less Junk zinakuwa ghali. Junk food ni cheap. Junk namaanisha vyakula vya kisasa.Camoon! Hapa tunazungumzia fresh food from supermarket. Ukiagiza online lazima itakuja na gharama ya kuandaa hiyo desert + delivery cost so lazima iwe expensive though haitafika dollar 100.
Na kwanini uagize parachichi all the way from Africa?!🤣🤣🤣
Acha hizo! So ukiagiza African Avocado ni dollar 100. Kubali tu ulitupiga kambaParachichi kutoka Africa ni less Junk zinakuwa ghali. Junk food ni cheap. Junk namaanisha vyakula vya kisasa.
Mmekutana WA Majuu, sie WA Iselamagazi tulishaamini kama picha ya mchumba WA Sabaya.Acha hizo! So ukiagiza African Avocado ni dollar 100. Kubali tu ulitupiga kamba
Hayafai, salama yako piga marufuku vitu vya kukaanga vinginevyo ni hatari2Mafuta ya kupikia je?
Wananchi wachache si wote. Wanyonge watazidi kukamuliwa kwa kodi na tozo na matajiri watazidi kutajirika.Ndiyo Pesa Zipo Mifukoni Mwa Wananchi
Ndiyo Ukweli WenyeweWananchi wachache si wote. Wanyonge watazidi kukamuliwa kwa kodi na tozo na matajiri watazidi kutajirika.
Nisamehewe bure lkn nahisi serikali inahusuka kimya kimya, otherwise ingekuwa imeshatoa mwongozo fulani. Sitaki kuamini kuwa watendaji serikalini hawajui kinachoendelea mtaani juu ya bei hizi zinazotuumiza. Mwaka wa 6 sasa kipato hakiongezeki ila bei zinapaa. Hayo maendelea yatakujaje kwa mfano??Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!
Kiukweli huku MTAANI vitu vinazidi kupanda bei siku Hadi siku.Nyama saizi 8000 Toka 7000. Juzi nimeenda dukani kununua Colgate naambiwa Sasa ni 5000/= ikiwa hapo awali nilikuwa nanuna 3500/.
Kwa ujumla vitu vingi bei vimepanda na sijaona tamko lolote kutoka mamlaka za serikali kuhusu hili. Je, Kuna inflation inapiga raia kimya kimya na serikali haitaki tamka rasmi?
Wataalamu naombeni uchambuzi ni ni kimesababisha Hali hii ghafla hivi.
Salaamu watoto wa Jamhuri ya Muungano!