Mfumuko wa bei ni 3.1% Tanzania

Mfumuko wa bei ni 3.1% Tanzania

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Yamesemwa na ritha minja ambaye ni Mkurugenzi wa Sensa za Twakimu na Jamii. Hiyo ni kwa mwezi October

Source: TBC online

My take
Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
 
Hili balaa limeanza mapema sana, jamaa wamechota pesa zote hazina kufanyia kampeni wakati mwisho wa siku wanajua kabisa watatumia kura feki kubaki madarakani.

Sasa hata miezi miwili bado haijapita haya majanga yameanza, ukijumlisha na balaa la Corona kwenye utalii, ajira hakuna, watanzania kweli tutalimia meno.
 
ni cement na sukari tu zimepanda bei???
Cemnt ikipanda bei na vifaa vngne vya ujenz vinafumuka bei vibaya Sana hapo had nondo muda si mrefu hazitakamatika...
Maisha yanapanda kila siku lakin waajiriwa mishahara ni ileile hawajaongezewa mwaka wa 5 huu.... Sisi ma day workers Hali ni mbaya hakuna mzunguko wa pesa kila mtu akiipata anaikumbatia
uchumi wa kat kama ndo staili yake hii bora nchi irud uchumi wa chin kma miaka 6 iliyopita
 
Yamesemwa na ritha minja ambaye ni mkurugenzi wa sensa za twakimu na jamii. Hiyo ni kwa mwezi October

Source: TBC online

My take
Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
Aidha TBC wamekosea kumnukuu au huyo mama atakua ndio ametua nchini Jana jioni akitokea mwezini.
Anajua maana ya mfumuko wa Bei au Kuna kikundi Cha watu wachache waishio nje ya nchi anataka kuwafurahisha?
 
Cemnt ikipanda bei na vifaa vngne vya ujenz vinafumuka bei vibaya Sana hapo had nondo muda si mrefu hazitakamatika...
Maisha yanapanda kila siku lakin waajiriwa mishahara ni ileile hawajaongezewa mwaka wa 5 huu.... Sisi ma day workers Hali ni mbaya hakuna mzunguko wa pesa kila mtu akiipata anaikumbatia
uchumi wa kat kama ndo staili yake hii bora nchi irud uchumi wa chin kma miaka 6 iliyopita
Tatizo lenu nafikiri ama hamsomi taarifa za nchi hii au mko nje ya nchi hii mbona ilisemwa kuwa kiwanda cha Dangote kitafugwa kwa matengenezo na katikati ya Nov kitaanza tena hivyo cement itakuwa nyingi kama kawaida! Sijui mtajifungia wapi? Sukari bei ni kati ya 2,500 na 2,700. Uongo wenu ndiyo maana watz wanawadharau wanawanyima kura sasa kwa sababu ya uongo wenu.
 
Bei ya sukari 2500 Ni Zanzibar sio huku.
 
Hiyo ni Dar nenda Shoppers Supermarket Mbezi Beach nanunulia hapo kila mara mkuu!
Daaaah shopper market huku kwetu hakuna mzee.

Afu niliambiwa ata huko supermarkets mwisho kilo tatu
 
Back
Top Bottom