Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,330
Hivi wewe jamaa mbona huna akili kiasi hiki? Kupanda bei kwa bidhaa ni maendeleo?Sasa wewe ulitaka tuendelee kuwa hapo hapo? Maendeleo ni pamoja na bei kupanda na wananchi kuwa na uwezo wa kulipa. Yaani kipato kimepanda pia. Hivyo watz kwa sasa wanauwezo wa kulipa 2500 kwa kuwa kipato chao kimepanda ndiyo maana tuko kwenye nchi ya kipato cha kati!