mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
"Punguza sauti kidogo"Kreti ya bia ni Bei rahisi kuliko mfuko wa saruji a.k.a cement
Cement inagonga elf30 kwa Sasa
maisha yamekua magumu mara 70 zaid ya miaka ya 2014
Cemnt ikipanda bei na vifaa vngne vya ujenz vinafumuka bei vibaya Sana hapo had nondo muda si mrefu hazitakamatika...ni cement na sukari tu zimepanda bei???
Aidha TBC wamekosea kumnukuu au huyo mama atakua ndio ametua nchini Jana jioni akitokea mwezini.Yamesemwa na ritha minja ambaye ni mkurugenzi wa sensa za twakimu na jamii. Hiyo ni kwa mwezi October
Source: TBC online
My take
Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
Tatizo lenu nafikiri ama hamsomi taarifa za nchi hii au mko nje ya nchi hii mbona ilisemwa kuwa kiwanda cha Dangote kitafugwa kwa matengenezo na katikati ya Nov kitaanza tena hivyo cement itakuwa nyingi kama kawaida! Sijui mtajifungia wapi? Sukari bei ni kati ya 2,500 na 2,700. Uongo wenu ndiyo maana watz wanawadharau wanawanyima kura sasa kwa sababu ya uongo wenu.Cemnt ikipanda bei na vifaa vngne vya ujenz vinafumuka bei vibaya Sana hapo had nondo muda si mrefu hazitakamatika...
Maisha yanapanda kila siku lakin waajiriwa mishahara ni ileile hawajaongezewa mwaka wa 5 huu.... Sisi ma day workers Hali ni mbaya hakuna mzunguko wa pesa kila mtu akiipata anaikumbatia
uchumi wa kat kama ndo staili yake hii bora nchi irud uchumi wa chin kma miaka 6 iliyopita
Bei ya sukari 2500 Ni Zanzibar sio huku.Tatizo lenu nafikiri ama hamsomi taarifa za nchi hii au mko nje ya nchi hii mbona ilisemwa kuwa kiwanda cha Dangote kitafugwa kwa matengenezo na katikati ya Nov kitaanza tena hivyo cement itakuwa nyingi kama kawaida! Sijui mtajifungia wapi? Sukari bei ni kati ya 2,500 na 2,700. Uongo wenu ndiyo maana watz wanawadharau wanawanyima kura sasa kwa sababu ya uongo wenu.
Hiyo ni Dar nenda Shoppers Supermarket Mbezi Beach nanunulia hapo kila mara mkuu!Bei ya sukari 2500 Ni Zanzibar sio huku.
Hili jitu tunalo lifee tuuYamesemwa na ritha minja ambaye ni mkurugenzi wa sensa za twakimu na jamii. Hiyo ni kwa mwezi October
Source: TBC online
My take
Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
Kwa nini usife wewe kwanza!Hili jitu tunalo lifee tuu
Daaaah shopper market huku kwetu hakuna mzee.Hiyo ni Dar nenda Shoppers Supermarket Mbezi Beach nanunulia hapo kila mara mkuu!