Mfumuko wa bei ni 3.1% Tanzania

Hivi wewe jamaa mbona huna akili kiasi hiki? Kupanda bei kwa bidhaa ni maendeleo?
 
Yamesemwa na ritha minja ambaye ni mkurugenzi wa sensa za twakimu na jamii. Hiyo ni kwa mwezi October

Source: TBC online

My take
Tumpongeze rais kwa juhudi maana vitu vipi chini kwa kuanzia cement hadi sukari
Twambie hiyo inamaana gani. Na tueleze ni mfumko upi wa bei unaofaa na upi haufai?
 
Uongo huo vitu vimeshuka sana baada ya wapinzani waliokuwa wanapinga maendeleo kufurumushwa,siyo asilimia tatu ni asilimia -1
 
Hiyo ni Dar nenda Shoppers Supermarket Mbezi Beach nanunulia hapo kila mara mkuu!
WEE naye una akili ya kuvukia barabara tu, kwa hiyo mtu atoke mbezi mwisho akanunue sukari shopers supermarket hiyo nauli ya kwenda na kurudi itakuwa shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…