Mfungaji Bora Apewe Fei Toto Salumu( FTS)

Utaifa kwanza 😊😊
 
Mpira wenu wa kizamani,waangalieni wenzenu.
Mane,Salah,Auba wote walishinda kiatu cha dhahabu baada ya kufungana magoli 22.
 
huyo ana laana ya yanga na hersy hata afanyeje damu yake haiwezi kutakata. akaombe kwa mama tena ili awe mfungaji bora, manake siku ile kwasababu tu ni mzanzibar hadi rais kaingilia kati ati. ndio niliamini wazanzibari sio watanzania. raia wa kigeni kabisa wanavyoteteana.
 
kwanini asipewe waziri jr?
au sio mzawa???
 
Mkuu,
Human nature hiyo Mimi nimewai shuhudia upendeleo wakikabila yaan mtu mnakutana hakujui humjui akiona jina la kabila lake mfano mwafulani , tesha,kimario,massawe,shehoza,shelukindo, shenkalwa,mabula, marunde,mihayo, mazegenuka,kamugisha,rugalabamu ana feel Ile belonginess anakupa favor

Ni sawa mama Samia hawezi kufumbia macho mzanzibar mwenzake aonewe na wakati ana chance ya kumsaidia bila kusababisha madhala..

Mkuu Hata wewe mwenyewe ukipata fursa tusidanganyane lazima Kuna utakao wapa favor πŸ˜ŠπŸ˜…
 
wote sio watanganyika, Hivyo ataekidhi vigezo apewe
 
Sawa mrs Fei ,tumekusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…