Mfungaji Bora Apewe Fei Toto Salumu( FTS)

Naongezea takataka kabisa huyu mpuuz
 
Kipa bora : Ley Matampi
Beki bora: Bacca
Kiungo bora: Feisal Salum
Mfungaji bora: Aziz Ki
MVP: Aziz Ki.
 
Kipa bora : Ley Matampi
Beki bora: Bacca
Kiungo bora: Feisal Salum
Mfungaji bora: Aziz Ki
MVP: Aziz Ki.
Yaani Aziz awe MVP hasiwe kiungo bora.

Kama mtu anastahili apewe zote na si kubalance,kuanzia Kiungo bora,mchezaji bora na mfungaji bora zote anatakiwa pewe Aziz K.
 
Nenda kampe huyo jinga FEI Toto!

Hattrick anapata kwenye timu yenye wachezaji 8 uwanjani alafu ndio awe mchezaji bora.

NI UJINGA MKUBWA.
Umeumia kwa nyuma sio
 
Yaani Aziz awe MVP hasiwe kiungo bora.

Kama mtu anastahili apewe zote na si kubalance,kuanzia Kiungo bora,mchezaji bora na mfungaji bora zote anatakiwa pewe Aziz K.

Feisal lazima apewe Mchezaji bora
 
Kama ni uzawa apewe WAZIR JR maana ni mtanganyika na anamagoli 12
Huyo fei unaemzungumzia ni mgeni kutoka Zenji
 
Feisal lazima apewe Mchezaji bora
Give me reasons?

Zangu kwa Aziz K.
-Mchezaji mwenye magoli mengi.
-Mwenye Assits nyingi.
-Mchezaji aliye tengeneza chances
nyingi kuliko yoyote.
-Mchezaji bora kwenye final quarter ya
uwanja,kwa kifupi amedominate that
domain kuliko yoyote

Nipe zako.

Tuongee kiufundi,tuachane na unafiki wa uzalendo na kubalance,tuongee mpira.
 
Naunga mkono hoja
 
WEEE KAOMBE TFF WAWEKE KIATU CHA WAZAWAAA ELSE WAGENI WATABEBA HIKI KIATU WAZAWA MNABEBA VYA KARUME
OV
 
HUYUU JAMAAA ALIBET MZIGOOOO UMEBU.AA ANAOMBA MSAADA
 
VITA YA WAKUBWA HAIPIGANWI NA WATOTO!

M-Toto alikimbia Kambi kwasababu ya nafasi.... Akaona isiwe kesi akasusa akaenda timu ndogo...

Si wakaona mkubwa sana, wakaanza kumfananisha na mwamba wa wagadugu... Kamuonyesha kuwa jinsi vita za wakubwa zinavyochezwa na MAMASTER... 😜

Ajabu Hadi baba wa kambo aliona aingilie kati kuwa atamsapoti M-Toto akasahau kuwa M-Toto akifunga Azam anashinda kisha hao shirikisho... 😜

Watani wakitaka kusema tumezionea timu dhaifu msimu huu unakuta timu yao tumeikanda goli 7 na kukusanya point 6....😜

Wakitaka kumlinganisha Aziz Ki na mchezaji waliotaka awe mfungaji bora, unakuta Aziz Ki ndiye kinara wa magoli na kawakanda mechi zote..... 😜

Wakitaka kujiita wajuaji wa mechi za kimataifa unakuta timu yao haitashiriki klabu bingwa msimu ujao.... 😜

Wakitaka kusema mafanikio yao msimu huu unakuta wana WhatsApp channel na kibegi kama mafanikio.... 😜

Wakitaka kusema Mzee awaachie timu yao wanakuta timu ishanunuliwa kitambo kwa mujibu wa taarifa ya mnunuzi.... 😜

Kwa ufupi timu yao imefeli vita zote msimu huu, vita ya ubingwa, vita ya nafasi ya pili na vita ya mchezaji wampendao kutwaa kiatu cha ufungaji bora........ 😜

WANANCHI TUNASEMAJE NA BADO..... Young Africans Sports Club πŸ’šπŸ–€
#yangabingwa
 
mtotoo akui kwa kakaaa
 

Attachments

  • 1716961078275.jpg
    375.5 KB · Views: 1
peleka ubaguzi Zanzibar! Pumbavu sana wewe! Baada ya kuwabagua Wamasai kule kwenu sasa unaleta ubaguzi ati tuwape wakwetu hata kama hawaongozi kwa magoli! BTW Haaland si mwingereze nakachukua kiatu cha ufungaji bora!
 
Wa Mdebwedo wa upande ule wako hivyo atiiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…