Mfungaji Bora Apewe Fei Toto Salumu( FTS)

Kumbe kina Ronaldo, Mane, Neymar Jr ni warabu hee? Maana hao ndo highest paid footballers huko uarabuni.
Football is all about fair play, huu unaouleta hapa ni ubaguzi na haufai michezoni, mshindi apatikane kwa uwezo wake na sio kwa utaifa wake..
Hopeless kabisaa wewe[emoji706]
Naongezea takataka kabisa huyu mpuuz
 
Apewe hichi

GOrogwoWsAA4JAs.jpeg
 
Kipa bora : Ley Matampi
Beki bora: Bacca
Kiungo bora: Feisal Salum
Mfungaji bora: Aziz Ki
MVP: Aziz Ki.
 
Kipa bora : Ley Matampi
Beki bora: Bacca
Kiungo bora: Feisal Salum
Mfungaji bora: Aziz Ki
MVP: Aziz Ki.
Yaani Aziz awe MVP hasiwe kiungo bora.

Kama mtu anastahili apewe zote na si kubalance,kuanzia Kiungo bora,mchezaji bora na mfungaji bora zote anatakiwa pewe Aziz K.
 
Nenda kampe huyo jinga FEI Toto!

Hattrick anapata kwenye timu yenye wachezaji 8 uwanjani alafu ndio awe mchezaji bora.

NI UJINGA MKUBWA.
Umeumia kwa nyuma sio
 
Yaani Aziz awe MVP hasiwe kiungo bora.

Kama mtu anastahili apewe zote na si kubalance,kuanzia Kiungo bora,mchezaji bora na mfungaji bora zote anatakiwa pewe Aziz K.

Feisal lazima apewe Mchezaji bora
 
Kama ni uzawa apewe WAZIR JR maana ni mtanganyika na anamagoli 12
Huyo fei unaemzungumzia ni mgeni kutoka Zenji
 
Feisal lazima apewe Mchezaji bora
Give me reasons?

Zangu kwa Aziz K.
-Mchezaji mwenye magoli mengi.
-Mwenye Assits nyingi.
-Mchezaji aliye tengeneza chances
nyingi kuliko yoyote.
-Mchezaji bora kwenye final quarter ya
uwanja,kwa kifupi amedominate that
domain kuliko yoyote

Nipe zako.

Tuongee kiufundi,tuachane na unafiki wa uzalendo na kubalance,tuongee mpira.
 
Kumbe kina Ronaldo, Mane, Neymar Jr ni warabu hee? Maana hao ndo highest paid footballers huko uarabuni.
Football is all about fair play, huu unaouleta hapa ni ubaguzi na haufai michezoni, mshindi apatikane kwa uwezo wake na sio kwa utaifa wake..
Hopeless kabisaa wewe[emoji706]
Naunga mkono hoja
 
Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.

Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa haijalishi mkataba umesainiwa lini.

Ngozi nyeusi kuna namna inashida hasa watizedi, hatuna hulka ya kuthamini vya kwetu , ndio utakuta Aziz Ki alikuwa anakula 20M huku Fei Mil 4 , stupide kabisa. Fei made great decision in his career path and in searching of his identity!

Ufungaji bora uende kwa Fei Toto ikiwa njia moja Wapo ku promote vipaji vya ndani na kupaisha majina ya wachezaji wa ndani.

Mali yoyote atakayochuma Fei itabaki Tanzania na mali ya mgeni atapeleka kwao , hii ndio sera ya Uk na Arabs kwenye favoritism ya mzawa.

Fei apongezwe pamoja na kukaa nje muda mrefu but jamaa anajua game . SSC mali hiyo , kama mtaendelea kukimbizana na Chama mchezaji ambae hauziki tena nje ya Tanzania shauri yenu.

Dau la Fei toto limepanda kuliko angeendelea kupakwa shombo la Jangwani. Guys this is big lesson in life , hata kwenye maisha ya kawaida, HESHIMU maamuzi yako unayoyaamin at any COST, kuna thin line kati ya MAFANIKIO na MAAMUZI yenye Confidence .

Kama Fei angesalia Yanga , possibly hata dau lake la kumuuza lingekuwa la Kawaida.

Napenda snaa kuona vijana wa TZ wakionesha ushindani kwa wageni wanaolipwa millions of TZS na wakati mwingine hawana deliverable z maana. Mfano Mikison anakula more than 20M , for what ? Stupide kabisa!

SAFI SANA FEI, Mimi ni Yanga but utaifa kwanza na umetupa Heshima wa TZ. All the best Feisal Salum kwenye career path yako ya professional football !
WEEE KAOMBE TFF WAWEKE KIATU CHA WAZAWAAA ELSE WAGENI WATABEBA HIKI KIATU WAZAWA MNABEBA VYA KARUME
OV
 
HUYUU JAMAAA ALIBET MZIGOOOO UMEBU.AA ANAOMBA MSAADA
 
VITA YA WAKUBWA HAIPIGANWI NA WATOTO!

M-Toto alikimbia Kambi kwasababu ya nafasi.... Akaona isiwe kesi akasusa akaenda timu ndogo...

Si wakaona mkubwa sana, wakaanza kumfananisha na mwamba wa wagadugu... Kamuonyesha kuwa jinsi vita za wakubwa zinavyochezwa na MAMASTER... 😜

Ajabu Hadi baba wa kambo aliona aingilie kati kuwa atamsapoti M-Toto akasahau kuwa M-Toto akifunga Azam anashinda kisha hao shirikisho... 😜

Watani wakitaka kusema tumezionea timu dhaifu msimu huu unakuta timu yao tumeikanda goli 7 na kukusanya point 6....😜

Wakitaka kumlinganisha Aziz Ki na mchezaji waliotaka awe mfungaji bora, unakuta Aziz Ki ndiye kinara wa magoli na kawakanda mechi zote..... 😜

Wakitaka kujiita wajuaji wa mechi za kimataifa unakuta timu yao haitashiriki klabu bingwa msimu ujao.... 😜

Wakitaka kusema mafanikio yao msimu huu unakuta wana WhatsApp channel na kibegi kama mafanikio.... 😜

Wakitaka kusema Mzee awaachie timu yao wanakuta timu ishanunuliwa kitambo kwa mujibu wa taarifa ya mnunuzi.... 😜

Kwa ufupi timu yao imefeli vita zote msimu huu, vita ya ubingwa, vita ya nafasi ya pili na vita ya mchezaji wampendao kutwaa kiatu cha ufungaji bora........ 😜

WANANCHI TUNASEMAJE NA BADO..... Young Africans Sports Club 💚🖤
#yangabingwa
 
mtotoo akui kwa kakaaa
 
Attachments

  • 1716961078275.jpg
    1716961078275.jpg
    375.5 KB · Views: 1
Tunatakiwa kuiga nchi za waarabu na uingereza wanavyofanya kuwapa kipaumbele wachezaji wao wa ndani.

Nchi za waarabu wameenda mbali zaidi, hata mishahara ni ngumu sana kufikia mshahara wa mzawa haijalishi mkataba umesainiwa lini.

Ngozi nyeusi kuna namna inashida hasa watizedi, hatuna hulka ya kuthamini vya kwetu , ndio utakuta Aziz Ki alikuwa anakula 20M huku Fei Mil 4 , stupide kabisa. Fei made great decision in his career path and in searching of his identity!

Ufungaji bora uende kwa Fei Toto ikiwa njia moja Wapo ku promote vipaji vya ndani na kupaisha majina ya wachezaji wa ndani.

Mali yoyote atakayochuma Fei itabaki Tanzania na mali ya mgeni atapeleka kwao , hii ndio sera ya Uk na Arabs kwenye favoritism ya mzawa.

Fei apongezwe pamoja na kukaa nje muda mrefu but jamaa anajua game . SSC mali hiyo , kama mtaendelea kukimbizana na Chama mchezaji ambae hauziki tena nje ya Tanzania shauri yenu.

Dau la Fei toto limepanda kuliko angeendelea kupakwa shombo la Jangwani. Guys this is big lesson in life , hata kwenye maisha ya kawaida, HESHIMU maamuzi yako unayoyaamin at any COST, kuna thin line kati ya MAFANIKIO na MAAMUZI yenye Confidence .

Kama Fei angesalia Yanga , possibly hata dau lake la kumuuza lingekuwa la Kawaida.

Napenda snaa kuona vijana wa TZ wakionesha ushindani kwa wageni wanaolipwa millions of TZS na wakati mwingine hawana deliverable z maana. Mfano Mikison anakula more than 20M , for what ? Stupide kabisa!

SAFI SANA FEI, Mimi ni Yanga but utaifa kwanza na umetupa Heshima wa TZ. All the best Feisal Salum kwenye career path yako ya professional football !
peleka ubaguzi Zanzibar! Pumbavu sana wewe! Baada ya kuwabagua Wamasai kule kwenu sasa unaleta ubaguzi ati tuwape wakwetu hata kama hawaongozi kwa magoli! BTW Haaland si mwingereze nakachukua kiatu cha ufungaji bora!
 
Kumbe kina Ronaldo, Mane, Neymar Jr ni warabu hee? Maana hao ndo highest paid footballers huko uarabuni.
Football is all about fair play, huu unaouleta hapa ni ubaguzi na haufai michezoni, mshindi apatikane kwa uwezo wake na sio kwa utaifa wake..
Hopeless kabisaa wewe[emoji706]
Wa Mdebwedo wa upande ule wako hivyo atiiii!
 
Back
Top Bottom