Mkuu,hiyo ni sehemu tu ya changamoto za hawa watu wakirudi uraiani. Jana kuna ule uzi wa yule jamaa aliyekataa kutoka jela baada ya msaada, kuna baadhi ya wachangiaji walo-raise concern kuhusu maana halisi ya kumfunga mtu baada ya kupatikana na hatia.Twende kisomi jamani. Ulipomsikia huyo mmoja kati ya wafungwa 5000 (1/5000), kitakwimu unaona hilo ni tatizo?
Mkuu umekoment kikike kike haswa hapa....hujui mishe za jela wewe ukienda kule ukirudi mtaani unaanza zero kabisa yan back to square 1....kapewa heka 1 atapambana kuuza hata nusu iliyobaki anaanzia maisha yanasonga.Niccampoops... tuna mashudu vichwani
Mkuu wa Mkoa wa Njombe awapa ekari moja moja wafungwa waliosamehewa
Unam reward criminal, eti afanye kazi asirudi jela, sisi wa nje nani anatupa ardhi bure tuitumie tusende jela ???
Akili ya mtu mweusi mbolea tupu...
Kilaza wewe msukule wa lumumbaUmepata wivu wafungwa kuachiwa?
Haya kafungwe wewe sasa ufurahi
Upinzani kwa wivu hamjambo
God first
Akili ya tope wewe, sijaona sehemu yeyote ambapo mleta mada ameonesha wivu kwa wafungwa walioachiwa na Meko ili kutafuta kiki.Umepata wivu wafungwa kuachiwa?
Haya kafungwe wewe sasa ufurahi
Upinzani kwa wivu hamjambo
God first
Mmmh.. .Umepata wivu wafungwa kuachiwa?
Haya kafungwe wewe sasa ufurahi
Upinzani kwa wivu hamjambo
God first
Siku za hivi karibuni rais amekuwa akiwapigia kelele Jeshi la Magereza na Wizara nzima kwa kutowatumia ktk kazi. Wanatakiwa watumike ili hatima ya kifungo chao itoe matokeo ya uzoefu wa jambo fulani, badala ya kulima tuuu! Akiachiwa anapewa tena shamba wakati anafahamu kilimo ni adhabu.Mkuu,hiyo ni sehemu tu ya changamoto za hawa watu wakirudi uraiani. Jana kuna ule uzi wa yule jamaa aliyekataa kutoka jela baada ya msaada, kuna baadhi ya wachangiaji walo-raise concern kuhusu maana halisi ya kumfunga mtu baada ya kupatikana na hatia.
Magereza kama kule Zanzibar wanavoita inapaswa kuwa chuo cha mafunzo,yaani mfungwa akitoka jela awe mtu bora kuliko alivoingia kitabia.
Nadhani ndio hapo kwenye tatizo,magereza yetu yanarundika tu watu bila kuwabadili tabia na mitazamo yao warudipo uraiani.
Na watu wameshauri sana pia kuhusu namna ya kuwajengea uwezo wa kujipatia riziki warudipo uraiani japo kwa kuwapa skills mbalimbali km za uashi,useremala,mekaniksi,kilimo,ufugaji nk na hata kuwaajiri kwenye baadhi ya miradi inayotekelezwa na magereza kwa fani husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wafungwa bado ni vijana sana lazima watarudia uhalifu. Wangebaki tu jela kwa maoni yangu!!!MFUNGWA ALIYEACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI AKAMATWA NA POLISI
Mmoja wa wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa rais mkoani Njombe anashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa kosa la kuvunja nyumba ya kulala wageni ya Nang'ano mjini Makambako ili kuiba fedha.
Mussa Msolwa maarufu Hitler amedai alikwenda hapo kulala lakini tamaa ilimshika baada ya kuona fedha hizo.
*****
Jumatatu Desemba 9, 2019 Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa msamaha kwa wafungwa 5,533 lakini mmoja wa wafungwa hao, Mussa Msola maarufu Hitler amekamatwa na polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kuvunja nyumba ya kulala wageni iliyopo mjini Makambako.
Msola ambaye kabla ya kuondoka katika gereza la Njombe aliomba msamaha mbele ya viongozi wa Serikali na maofisa usalama huku akiwasihi wenzake kuwa wema waendapo uraiani, aliachiwa huru jana Jumanne Desemba 10, 2019 saa 8 mchana.
Lakini saa nane baadaye alikamatwa na wananchi akiwa katika nyumba hiyo ya wageni ya Nang’ano iliyopo mtaa wa Mwembetogwa mjini Makambako akifanya uhalifu.
Rais Magufuli alitoa msamaha huo katika maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.
Akizungumzia tukio hilo leo Jumatano Desemba 11, 2019 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issa amesema, “ninaweza kusema msemo wa Kiswahili kuwa sikio la kufa halisikii dawa umetia leo Njombe baada ya mtuhumiwa mmoja Mussa Msola maarufu Hitler.”
“Aliyepewa msamaha (na Rais) na kuondoka Njombe kuja Makambako jana mchana lakini baada ya saa nane tangu atoke gerezani alishawishika na kufanya tukio la uvunjaji na wa nyumba ya kulala wageni ya Nang’ano.”
Issa amesema mtuhumiwa huyo ambaye kabla ya kutoa gerezani aliwasihi wenzake kuwa wema na kuomba msamaha kwa viongozi waliofika gerezani kushuhudia wafungwa wakiachiwa, alikamatwa na wananchi na kufikishwa kituo cha polisi.
“Yupo polisi na tulipomhoji alisema tamaa zimemshika na akafanya hayo. Tunawataka wasirudie vitendo vya uhalifu watarudi jela. Maisha yake ameamua kuwa gerezani na atarudi gerezani,” amesema Issa.
another abject dunderheadjinga
Yupo polisi na tulipomhoji alisema tamaa zimemshika na akafanya hayo. Tunawataka wasirudie vitendo vya uhalifu watarudi jela. Maisha yake ameamua kuwa gerezani na atarudi gerezani,” amesema Issa.
Ni tabia iliyo ndani ya damu na nafsi yake kuacha sio rahisi hata kama anakipato kukubwa kama ni tabia hataiacha.MFUNGWA ALIYEACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI AKAMATWA NA POLISI
Mmoja wa wafungwa walioachiwa kwa msamaha wa rais mkoani Njombe anashikiliwa na polisi mkoani hapa kwa kosa la kuvunja nyumba ya kulala wageni ya Nang'ano mjini Makambako ili kuiba fedha.
Mussa Msolwa maarufu Hitler amedai alikwenda hapo kulala lakini tamaa ilimshika baada ya kuona fedha hizo.
*****
Jumatatu Desemba 9, 2019 Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa msamaha kwa wafungwa 5,533 lakini mmoja wa wafungwa hao, Mussa Msola maarufu Hitler amekamatwa na polisi mkoani Njombe kwa tuhuma za kuvunja nyumba ya kulala wageni iliyopo mjini Makambako.
Msola ambaye kabla ya kuondoka katika gereza la Njombe aliomba msamaha mbele ya viongozi wa Serikali na maofisa usalama huku akiwasihi wenzake kuwa wema waendapo uraiani, aliachiwa huru jana Jumanne Desemba 10, 2019 saa 8 mchana.
Lakini saa nane baadaye alikamatwa na wananchi akiwa katika nyumba hiyo ya wageni ya Nang’ano iliyopo mtaa wa Mwembetogwa mjini Makambako akifanya uhalifu.
Rais Magufuli alitoa msamaha huo katika maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.
Akizungumzia tukio hilo leo Jumatano Desemba 11, 2019 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issa amesema, “ninaweza kusema msemo wa Kiswahili kuwa sikio la kufa halisikii dawa umetia leo Njombe baada ya mtuhumiwa mmoja Mussa Msola maarufu Hitler.”
“Aliyepewa msamaha (na Rais) na kuondoka Njombe kuja Makambako jana mchana lakini baada ya saa nane tangu atoke gerezani alishawishika na kufanya tukio la uvunjaji na wa nyumba ya kulala wageni ya Nang’ano.”
Issa amesema mtuhumiwa huyo ambaye kabla ya kutoa gerezani aliwasihi wenzake kuwa wema na kuomba msamaha kwa viongozi waliofika gerezani kushuhudia wafungwa wakiachiwa, alikamatwa na wananchi na kufikishwa kituo cha polisi.
“Yupo polisi na tulipomhoji alisema tamaa zimemshika na akafanya hayo. Tunawataka wasirudie vitendo vya uhalifu watarudi jela. Maisha yake ameamua kuwa gerezani na atarudi gerezani,” amesema Issa.
Sky Eclat, hivi unafahamu kuwa vijana wa UDSM wameupa jina la RB mlo huo mtukufu??Kama malengo yalikuwa ni budget ya ugali na maharage sasa wajiandae
DuuhMFUNGWA ALIYEACHIWA KWA MSAMAHA WA RAIS MAGUFULI AKAMATWA NA POLISI