Mfungwa aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais akamatwa kwa wizi

Mkuu wa mkoa anaona eti huo nao ni ubunifu, anasubiri kupigiwa makofi!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika Magereza zetu zimeshindwa kuwa corrective place badala yake zimekuwa pahala pa kufanya watu kuwa criminal zaidi ya walivyokuwa..Sijui tunakosea Wapi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…