Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Huyu jamaa alikuwa mwanafunzi wa Bihawana High school , aliacha masomo akiwa kidato cha tano nakwenda kujiunga na Alshabab, katika jambo la kushangaza hadi siku anakamatwa akiwa Gharisa kwenye eneo la tukio shuleni kwake walikuwa hawajui kama hayupo shule, na wazazi wake walipigwa na mshangao kusikia mtoto wao kahusika kwenye ugaidi kwani walijua kuwa yuko Dodoma kimasomo toka siku hiyo mama yake alishikwa na ugonjwa wa PRESSURE
 
Kesi yake ilikuwa ngumu sana kwake, alikuwa anasoma bihawana secondary dodoma, ila siku yanatokea mauaji chuo cha garissa kenya nae alikutwa humo chuoni kajificha.
Sasa hapo tu hata ungekuwa wewe usingeweza kumuachia, maana maswali yangekuwa alifikaje kenya?? Alifikaje hiko chuo cha garissa?
Huyu Dogo angepata wanasheria wazuri angeachiliwa mapema.

Usikute kajinyonga baada ya kuona kila mtu anamhukumu bila kumsikiliza
 
We jamaa bana hivi upo serious? Huyu alikuwa mwanafunzi wa kidato cha tano bihawana secondary huko dodoma. Na aliondoka hapo shuleni bila taarifa, ndio hadi anakuja kukutwa kwenye hilo tukio huko kenya.
Wazazi wake walijua yupo shule.
Ohh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
 
Suicide ni point of no return na yoyote ajinyongae hapati maumivu ya mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…