Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ukitetea haki ya kula kwa mtu ambaye amedhulumu haki ya kuishi kwa watu wengi nitakushangaa priorities zako.Kula ni haki ya. Msingi ya binadamu yoyote yule,
Na pia adabu ya kifungo cha maisha kwanza adhabu hiyo lazima ikuathiri kisaikolojia.
Pia huduma zote muhimu atazikosa
Mtu ambaye kapanga mauaji ya watu na kafanikiwa adhabu yake ni kuuawa.
Tena ingewezekana auawe zaidi ya mara moja ingefaa iwe hivyo.
Kama kaua watu 100, na yeye auawe mara 100.
Sasa huyo ndiye wa kumtetea kuhusu haki ya kula?