Kisa chake huyu dogo ni cha ki bwege Sana...alishawishiwa akaacha shule na kujiunga na Al shababu akiwa mdogo Sana alikuwa kama form 2...SASA akapelekwa uko Somalia siku ya tukio la garisa alipangwa alipue Bomu.......maana alitakiwa KUJITOA mhanga dogo kashafika eneo la tukio akaogopa kujilipua kitete kikamshika......akapanda kwenye Dali kimyaaaa......walipokuja polisi kuokoa wakacheki kwenye Dali wakawatoa wengine pamoja na yeye kuhojiwa kama wapo salama dogo akaongea Kiswahili cha bongo hapo ndio balaa lilipoanzia.........walitaka kujua kaletwa na Nani au kaja kufata nini na uku sio kwao??maana hata pasi hakuwa nayo......ndio ikawa basi tena...lakin huyu ajajinyonga hapo nakataa huyu atakuwa kauliwa.....maana walikamatwa kama WA 5 hivi wengine waliachiwa......wengine kifo pqmoja na huyu......mpaka mwisho WA maisha yake