Ukitetea haki ya kula kwa mtu ambaye amedhulumu haki ya kuishi kwa watu wengi nitakushangaa priorities zako.Kula ni haki ya. Msingi ya binadamu yoyote yule,
Na pia adabu ya kifungo cha maisha kwanza adhabu hiyo lazima ikuathiri kisaikolojia.
Pia huduma zote muhimu atazikosa
Nimesema hivi, hata Huko jela kuna adhabu ya kunyongwa na kuna adhabu ya vifungo, sasa kama mtu Amepewa adhabu ya kifungo cha maisha asipewe chakula?Ukitetea haki ya kula kwa mtu ambaye amedhulumu haki ya kuishi kwa watu wengi nitakushangaa priorities zako.
Mtu ambaye kapanga mauaji ya watu na kafanikiwa adhabu yake ni kuuawa.
Tena ingewezekana auawe zaidi ya mara moja ingefaa iwe hivyo.
Kama kaua watu 100, na yeye auawe mara 100.
Sasa huyo ndiye wa kumtetea kuhusu haki ya kula?
Nasema hivi, kumhukumu gaidi aliyeua watu kwa mafungu kifungo cha maisha ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi.Nimesema hivi, hata Huko jela kuna adhabu ya kunyongwa na kuna adhabu ya vifungo, sasa kama mtu Amepewa adhabu ya kifungo cha maisha asipewe chakula?
Huko jela wafungwa wote wana haki ya kula
Go with the flowKwa iyo aliona fursa kwenye ugaidi au kanajisi uchaga.?
Kweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?Huyu Dogo angepata wanasheria wazuri angeachiliwa mapema.
Usikute kajinyonga baada ya kuona kila mtu anamhukumu bila kumsikiliza
ONa ulivyo kichaa ulitaka amuue mama yako ndio ujue ni gaidi.Kweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?
Natamani nisiendelee kukujibu, ila ngoja
Huyu dogo.inavyoonekana alijiunga na alshabaab muda mrefu tu, kwa kuwa hata alipokuwa shule huko dodoma wamasema alikuwa na pesa nyingi.
Inayoonekana hiyo haikuwa mara yake ya kwanza kufika kenya
Kweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?
Shahidi wa kuua watu 150??? kumbe humu jf pia kuna magaidi wengi mnajiita mashahid, wakuu tuwe macho hawakawii kukubrainwash hawa
Si alikuwa mwanafunzi hapo chuoni
Alikuwa mwanafunzi.hapo ndo kuona na wewe ni mmoja wa watu unaopenda haya mambo.kwa hiyo ukinikuta kwako na mimi ni familia yako ilo ni jibu
Pumbvu funga Hilo fuvu lako lililojaa makamasi.Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
Si kufika Garrisa tu alikutwa juu ya dari alikuwa na woga fulani mabomu aliyoavaa ya kujilipua aliweka pembeni .Watanzania si unajua sisi kifo hukiogopa wenzie walijilipua yeye akaona ohhh sitaki akaja kudakwa juu ya dari na jeshi la kenyaKesi yake ilikuwa ngumu sana kwake, alikuwa anasoma bihawana secondary dodoma, ila siku yanatokea mauaji chuo cha garissa kenya nae alikutwa humo chuoni kajificha.
Sasa hapo tu hata ungekuwa wewe usingeweza kumuachia, maana maswali yangekuwa alifikaje kenya?? Alifikaje hiko chuo cha garissa?
gaidi lingine hili hapaOhh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??