Angetakiwa akate rufaa ili kesi iende mahakama ya rufaa, maelezo na ushahidi wote angeutolea hukoMbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
The Boss una swali hapa?Si kufika Garrisa tu alikutwa juu ya dari alikuwa na woga fulani mabomu aliyoavaa ya kujilipua aliweka pembeni .Watanzania si unajua sisi kifo hukiogopa wenzie walijilipua yeye akaona ohhh sitaki akaja kudakwa juu ya dari na jeshi la kenya
Hakuna mchagga mberesero....ila kina Wapare wa Mberesero waliohamia Manyara.Hawa ni wachagga waliohamia upareni. Fursa ndio imewapeleka kule. Ukoo wa Temba hawa. Origin old moshi.
Na alitoroka shule akiwa kidato cha TanoAlifata nini Garisa toka upareni, siku ya tukio
Ndio planners hao mkuu very soft and smart wale wenye midevu na Mionekano Aggressive ni implementors tuHili gaidi lina sura nzuri, halina madevu kama magaidi aina yake, halafu ni kijana mdogo
Kwahiyo unasemaje Sheikh [emoji848]Kweli; eti sababu pekee iliyomfanya jaji amtie hatiani ni mtuhumiwa "kushindwa kutoa maelezo ya KURIDHISHA kwa nini alikuwa kwenye eneo la hostel za chuo shambulio lilipotokea" Hiyo peke yake inaweza kuwa sababu ya kumnyonga mtu bila kuwa na ushahidi mwingine wa kumhusisha na tukio?
kwani mwisho wa ushahidi ni kuua wangapi?(mujahid)Shahidi wa kuua watu 150??? kumbe humu jf pia kuna magaidi wengi mnajiita mashahid, wakuu tuwe macho hawakawii kukubrainwash hawa
umenikumbusha movie ya 24 legacy..Ndio planners hao mkuu very soft and smart wale wenye midevu na Mionekano Aggressive ni implementors tu
Naskia dogo alikuwa na sponsor wake(basha) alikuwa anasoma pale garissa na ndiyo dogo alienda kwake.Alifata nini Garisa toka upareni, siku ya tukio
Umeskia wapi mkuu?Naskia dogo alikuwa na sponsor wake(basha) alikuwa anasoma pale garissa na ndiyo dogo alienda kwake.
Aliogopa kusema hivo kwasababu wazazi wangejiua kusikia mtoto wao gay
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ni kudhulumu nafsi kwake ni motoni!Uislamu unasemaje kuhusu mtu akijinyonga, ataenda peponi na kupata wale mabikra 72 au vipi?
Amerudi zake kwa Baba japo amenajisi upare kwa kufanya ugaidi
Ngoja aende Wanakofundishwa kwamba atapewa MABIKIRA 9 akale raha za Ahera. Dogo alitoroka shule kisa tu Mafundisho ya watu wachache Wapumbavu wanaoharibu Vijana wetu.
Tukemee na Tutoe taarifa kwa Vyombo vya Usalama pindi tunapoona Mawakala wa Vikundi vya Kigaidi wakiwashawishi Vijana kwenda kuungana na Vikundi hivi.
Kule Cabo Delgado Watanzania pia wapo na Wengine huenda ni Member hapa JF, hebu waoneeeni huruma Hawa Vijana wadogo mnawarubuni kutenda Unyama. Hakika mnawafutia ndoto zao za Maisha.
Ila kina watu mnapendaga ligi by nature aisee. Naijua familia. Ndo maana naongea. Na ni bora saa nyingine ufichage ujuaji mkuuHakuna mchagga mberesero....ila kina Wapare wa Mberesero waliohamia Manyara.
If he was innocent asingeshindwa kujieleza,maelezo ya ukweli ni rahisi sana,kama alifuata demu angesema na kumuonyesha,.shule aliagaje walimu wangemtetea,alisafirije bila pasi angeelezea,alipanda kwenye dari kivipi angeelezea!Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
Yani alikuwa Garisa Kenya anapita wakati ni mwanafunzi wa form 5Huyu kijana kwa kumuangalia tu anaonekana ana tatizo la msongo wa kimawazo au ugonjwa wa schizophrenia angepimwa akili kwanza na kuchunguza historia ya familia yao kiakili si ajabu alikuwa innocent suala la kusema alikuwa anafanya nini juu ya dari sio kigezo cha kumuhukumu.
Kwani mtu ukipita mahali ukakuta watu wanamimina risasi ukaingia nyumbani kwa mtu darini kusetiri maisha yako ukija kamatwa utahusishwa na kosa?
Wakati mwingine kuna watu hawajui kujieleza angepewa mwanasheria ingejulikana mbichi na mbivu.
Simtetei wala sitetei ugaidi ila je Kenya walichunguza mambo yote haya?
Mkuu dishi lako limeyumba?Ohh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??