Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mbona watu mna uelewa mdogo hivi?
Hapa tunachangia under speculation what if
He was not guilty
What if alishindwa Tu kujieleza vizuri..
Aliekwambia hapa tunamtetea nani?
Au tunaunga mkono alichofanya kama kafanya kweli nani?
Wewe ndio Una uelewa mdogo, unaspeculate

Yet you believe in your speculation
 
Wewe ndio Una uelewa mdogo, unaspeculate

Yet you believe in your speculation
Bro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.
 
Bro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.

Ukinikuta kwako na mimi ni familia yako swali
 
umenikumbusha movie ya 24 legacy..
Afu leo nmeota nmeenda kutalii na wenzangu wengi mara mujahid wakavamia na mabom ya kwenye mabegi(walikuwa wengi wamevaa kanzu)...mimi kwa akili nyingi (pamoja na wasaidizi wawili, kiume na wa kike) nikafanikiwa kutorosha kundi kubwa la watu...wale jihadist wakatumark sisi watatu wakasema muislam yoyote akiona sura zetu apitishe panga,yule msaidizi wangu wa kiume alikuwa amezubaa tunatembea akaja jamaa amevaa casual kwa nyuma kama anamuulizia kitu,ile kugeuka tu jamaa alikuwa na panga kali akaondoka na kichwa.
Nikawa helpless nikaona hawa jamaa wameshinda ila hawakuwa na bunduki walikuwa na mapanga na mabom tu.
Halafu kiongozi wao ndo yule dogo wa 24legacy..kundi langu naloongoza ni la waoga nikiwaambia tumarch kupigana wanaogopa na alipokufa jamaa all hope was lost.
Kuja kuamka nakuta simu yangu pembeni kuiwasha nakuta sikutoka jf jana na ilikuwa imeload kwenye uzi huu(coincidence?)
wataalam wa njozi hiyo imekaaje

Sent using Jamii Forums mobile app
nafsi na roho yako havilali kinachopumzika ni hilo jumba lako lililochoka kutokana na mihangaiko

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
We jamaa bana hivi upo serious? Huyu alikuwa mwanafunzi wa kidato cha tano bihawana secondary huko dodoma. Na aliondoka hapo shuleni bila taarifa, ndio hadi anakuja kukutwa kwenye hilo tukio huko kenya.
Wazazi wake walijua yupo shule.
Tangu mwazo wa Komenti zake huyu jamaa ni wale wale mkuu.
 
Ohh OK kama ni mwanafunzi wa secondary
Alikuwa below 21 I believe
Ni kesi ya kuwa brainwashed Tu ..
Sidhani kama alikuwa real terrorist
Halafu kama alitoka Dodoma
Why waseme yeye ndo kawapeleka hao
Wasomali chuoni hapo??
Hao wasomali si wakenya??
Unatumia nguvu sana kumtetea huyo muumini mwezako. Tumia akili kidogo tu, kutoka Dodoma hadi Garisa na kakamatwa akiwa amejificha. Hubirini upendo kama Wakatoliki
 
Kwahiyo Kenya yeye ndio alikuwa mtanzania pekee ? Kwanini alikamatwa yeye, wewe taahira acha kukakamaza Hilo fuvu
Nyie wapuuzi na mafundisho ya kijinga. Mbona kuna waislamu wema tu wengi. Kundi dogo kama wewe ndio mnachafua uislamu kenge wewe
 
Kama gaidi kweli, wamemchelewesha sana.

Kawaida sipendelei adhabu ya kifo.

Ila hawa wauaji wanaoua watu kwa mafungu wangekuwa wanawaua tu badala ya kuwafunga jela wanakula bure pesa ya walipa kodi.
Google wamefuta picha zote za mauaji hayo. Binafsi nilipata bahati ya Mkenya mmoja kunitumia hizo picha. Watoto walikufa wamelalia madeski. Kwa kweli kama mzazi unaweza usisomeshe tena hasa kwa mazingira ya Kenya ambapo Alshabaabu wameeleza target zao kila mara
 
Huyu kijana kwa kumuangalia tu anaonekana ana tatizo la msongo wa kimawazo au ugonjwa wa schizophrenia angepimwa akili kwanza na kuchunguza historia ya familia yao kiakili si ajabu alikuwa innocent suala la kusema alikuwa anafanya nini juu ya dari sio kigezo cha kumuhukumu.
Kwani mtu ukipita mahali ukakuta watu wanamimina risasi ukaingia nyumbani kwa mtu darini kusetiri maisha yako ukija kamatwa utahusishwa na kosa?
Wakati mwingine kuna watu hawajui kujieleza angepewa mwanasheria ingejulikana mbichi na mbivu.
Simtetei wala sitetei ugaidi ila je Kenya walichunguza mambo yote haya?
Unaingia kwako unapishana na jemba harafu unamkuta wife anahangaika kuvaa chupi................ndicho hicho kilichomkuta Mberesero wenu
 
Back
Top Bottom