Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Kenge mama yako nguruwe wewe. Wapi nimetaja uislam hapaNyie wapuuzi na mafundisho ya kijinga. Mbona kuna waislamu wema tu wengi. Kundi dogo kama wewe ndio mnachafua uislamu kenge wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenge mama yako nguruwe wewe. Wapi nimetaja uislam hapaNyie wapuuzi na mafundisho ya kijinga. Mbona kuna waislamu wema tu wengi. Kundi dogo kama wewe ndio mnachafua uislamu kenge wewe
Hahahaaa!! Ungejua jana nimekula kitimoto wala usingenitukana hivi[emoji23] Kamchukue Kenya hukoKenge mama yako nguruwe wewe. Wapi nimetaja uislam hapa
Shuleni alipewa Suspension kwa kosa la kuvaa barakashia parade,maana aliambiwa avue akagoma, Mkuu wa shule akamwambia aende nyumbani akijua ya kwamba jamaa ataogopa na kuomba msamaha lakini jamaa alibeba vitu vyake akasepa asubui mapema na hapo shule tukijua ya kwamba Jamaa kaenda kwaoHuyu jamaa alikuwa mwanafunzi wa Bihawana High school , aliacha masomo akiwa kidato cha tano nakwenda kujiunga na Alshabab, katika jambo la kushangaza hadi siku anakamatwa akiwa Gharisa kwenye eneo la tukio shuleni kwake walikuwa hawajui kama hayupo shule, na wazazi wake walipigwa na mshangao kusikia mtoto wao kahusika kwenye ugaidi kwani walijua kuwa yuko Dodoma kimasomo toka siku hiyo mama yake alishikwa na ugonjwa wa PRESSURE
[emoji1787][emoji1787] kabisa mkuu. Yaaan ametumia mfano unafurahisha. Kwetu tu kuna wanaukoo walihamia umasaini huko wamelowea. Mtu ambaye hajui atasema ni wamasai. Sometimes huwa ni ugomvi ndugu huamia kujitenga na kuenda mbali. Ukoo wetu pia uko rombo na marangu. Mtu kama hajui kama hv ataongeeea mpk basi.Nasikiaga wapare wabishi Sana hata anaweza kuuza ng'ombe ili ashinde kesi ya kuku.
.................Watanzania tunapenda sana hearsay evidence,kwa akili zako nipe connection inawezekanaje shoga Mtanzania atoroke shule Dodoma tunakosikia alikuwa ameshaanza kupakataa sababu ikiwa ni kunyimwa kuvaa barakashia amfate basha wake Garrisa Kenya tena chuo na siku hiyo hiyo yatokee maafa na yeye akamatwe na sijda lake kubwa usoni na ashindwe kujieleza?Naskia dogo alikuwa na sponsor wake(basha) alikuwa anasoma pale garissa na ndiyo dogo alienda kwake.
Aliogopa kusema hivo kwasababu wazazi wangejiua kusikia mtoto wao gay
Sent using Jamii Forums mobile app
Yep!!!Ni kosa kisheria Mtanzania kwenda Kenya?
Bro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.
Unatumia nguvu sana kumtetea huyo muumini mwezako. Tumia akili kidogo tu, kutoka Dodoma hadi Garisa na kakamatwa akiwa amejificha. Hubirini upendo kama Wakatoliki
Yaani humu hata mtu ukiuliza maswali Tu
Watu wanakwazika...
Badala ya kujibu Tu maswali..
...............Haha nyie si wazee wa kujificha ficha?kwa tunaosoma katikati ya mistari mapema sana tunawastukia.Kenge mama yako nguruwe wewe. Wapi nimetaja uislam hapa
Nipo nyumbani kwako na mimi familia yako.kama usemavo alikuwa mwanafunzi wa hapo
Kwa nini nimekuuliza hivo
The boss inaonesha una imani ndiyo inakuchanganya
Kitendo cha mtu kuwa sehemu isiyo kwako hata mimi ukinikuta kwako lazima utanishuku au kutonielewa!
Ki vipi
Huyo dogo alikuwa na pass ya kufika hapo kenya!
Huyo dogo pale chuo yeye alikuwa mwanafunzi kama unavomtetea?!
Kwa nini ajifiche kama sio muhanga na yeye hangekuwa kajisalimisha kama wanafunzi waliomba msaada kwa askari!?
Mda mwengine the boss hata saa ukosea majira
Ndo maana nilisema Una tatizo la kuelewa
Hoja zangu nyingi zime base kwenye maswali
Kuuliza zaidi kuliko kupinga..
Hata niliposema kitu hakiko sahihi nimekubali waliokuja kunikosoa...
Na nimeongea waziwazi hapa nina speculate Tu kuwa hakuwa na hatia
Au pengine alikuwa brainwashed kuingia huko..
Kuna mtu humu kasema dogo alipewa Bomu
Akaenda kujificha badala ya kulipua Hilo bomu...
Sasa gaidi gani gani anaogopa kulipua bomu na kujificha???
Nchi zenye mahakama na mifumo mizuri huyu
Dogo asingehukumiwa maisha .
Hakimu pengine alikuwa emotional
Hakuna sehemu niliposema huyu dogo ni 100
Percent innocent au hakushiriki kabisa..
I hope umenielewa
Dini imempumbaza kabisaShuleni alipewa Suspension kwa kosa la kuvaa barakashia parade,maana aliambiwa avue akagoma, Mkuu wa shule akamwambia aende nyumbani akijua ya kwamba jamaa ataogopa na kuomba msamaha lakini jamaa alibeba vitu vyake akasepa asubui mapema na hapo shule tukijua ya kwamba Jamaa kaenda kwao
Tangu mwazo wa Komenti zake huyu jamaa ni wale wale mkuu.
Kwa hiyo wewe una uwezo zaidi ya mahakama na polisi kuchunguza.
Maana ndio kazi ya watanzania wajuaji
Kijana wa Mwamedi angalia huyu gaidi asije chukua mabikira 72 akawaka tamaa kuongeza wengine mpaka akumalizie nawewe yakheeNi kosa kisheria Mtanzania kwenda Kenya?
Uwezo wako unajionesha
Kwahiyo hakuna mahakama za rufaa hata huko Kenya?
Umeeelewa niliposema huyu dogo angepata
Lawyer mzuri asingefungwa maisha?..
Mahakama zote zina binadamu ambao wanakosea pia au kuwa biased na mambo mbalimbali au kuwa emotional pia..
Wapi niliposema huyu dogo kaonewa?
Mada yote nimesema pengine hakujieleza vizuri ...
Ndo maana kuna mahakama za rufaa dunia nzima
Unauliza maswali huku majibu yanajulikana?Kazi ya polisi na mahakama ni hipi mpaka kujua sio muhusika au muhusika?!
Kama unaona alishindwa kujieleza wamemuonea basi hata vitengo vya usalama hapo kenya basi havifanyi kwa weledi au kutokuwa makini!?
Kwa nini kukutwa hapo!