Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Mfungwa wa tukio la Ugaidi Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya, Rashid Mberesero adaiwa kujinyonga Gerezani Kamiti

Huyu jamaa alikuwa mwanafunzi wa Bihawana High school , aliacha masomo akiwa kidato cha tano nakwenda kujiunga na Alshabab, katika jambo la kushangaza hadi siku anakamatwa akiwa Gharisa kwenye eneo la tukio shuleni kwake walikuwa hawajui kama hayupo shule, na wazazi wake walipigwa na mshangao kusikia mtoto wao kahusika kwenye ugaidi kwani walijua kuwa yuko Dodoma kimasomo toka siku hiyo mama yake alishikwa na ugonjwa wa PRESSURE
Shuleni alipewa Suspension kwa kosa la kuvaa barakashia parade,maana aliambiwa avue akagoma, Mkuu wa shule akamwambia aende nyumbani akijua ya kwamba jamaa ataogopa na kuomba msamaha lakini jamaa alibeba vitu vyake akasepa asubui mapema na hapo shule tukijua ya kwamba Jamaa kaenda kwao
 
Nasikiaga wapare wabishi Sana hata anaweza kuuza ng'ombe ili ashinde kesi ya kuku.
[emoji1787][emoji1787] kabisa mkuu. Yaaan ametumia mfano unafurahisha. Kwetu tu kuna wanaukoo walihamia umasaini huko wamelowea. Mtu ambaye hajui atasema ni wamasai. Sometimes huwa ni ugomvi ndugu huamia kujitenga na kuenda mbali. Ukoo wetu pia uko rombo na marangu. Mtu kama hajui kama hv ataongeeea mpk basi.
 
vijana wa kitanzania hawajui ALSHABAB au Alkaeda haya makundi ni makundi ya walevi wa madawa ya kulevya.Afghastan kwa osama ndiko kunaongoza duniani kwa kilimo cha cocaine

Huitumia kabla kuingia misikitini na wakitoka misikitini

Wasomali mirungi ndio kwao wakishapuliza kujilipua kwao kitu kidogo AKILI INAYEYUKA

Hapa Somalia

Angalia video ya cocaine Afghanistan

Naskia dogo alikuwa na sponsor wake(basha) alikuwa anasoma pale garissa na ndiyo dogo alienda kwake.
Aliogopa kusema hivo kwasababu wazazi wangejiua kusikia mtoto wao gay

Sent using Jamii Forums mobile app
.................Watanzania tunapenda sana hearsay evidence,kwa akili zako nipe connection inawezekanaje shoga Mtanzania atoroke shule Dodoma tunakosikia alikuwa ameshaanza kupakataa sababu ikiwa ni kunyimwa kuvaa barakashia amfate basha wake Garrisa Kenya tena chuo na siku hiyo hiyo yatokee maafa na yeye akamatwe na sijda lake kubwa usoni na ashindwe kujieleza?

Inayumkinika kweli?huyu alikuwa gaidi kama magaidi wengine acheni kupindisha pindisha maneno.
 
Bro kajisaidie haja kubwa.
Kisha rudi tena kusoma argument za jamaa. Mie mwenyewe naamini dogo hakua na hatia yoyote.
Ni vile tu tukio limetokea na yeye akiwa mazingira hayo.
Ukitoka kujisaidia rudi hapa.

Yaani humu hata mtu ukiuliza maswali Tu
Watu wanakwazika...
Badala ya kujibu Tu maswali..
 
Unatumia nguvu sana kumtetea huyo muumini mwezako. Tumia akili kidogo tu, kutoka Dodoma hadi Garisa na kakamatwa akiwa amejificha. Hubirini upendo kama Wakatoliki

Sasa katoliki wanaingiaje hapa..?
Watu wanauliza Tu maswali
Badala ya kujibu mnaingiza imani zenu
Seriously?
 
Yaani humu hata mtu ukiuliza maswali Tu
Watu wanakwazika...
Badala ya kujibu Tu maswali..

Nipo nyumbani kwako na mimi familia yako.kama usemavo alikuwa mwanafunzi wa hapo
Kwa nini nimekuuliza hivo
The boss inaonesha una imani ndiyo inakuchanganya
Kitendo cha mtu kuwa sehemu isiyo kwako hata mimi ukinikuta kwako lazima utanishuku au kutonielewa!
Ki vipi
Huyo dogo alikuwa na pass ya kufika hapo kenya!
Huyo dogo pale chuo yeye alikuwa mwanafunzi kama unavomtetea?!
Kwa nini ajifiche kama sio muhanga na yeye hangekuwa kajisalimisha kama wanafunzi waliomba msaada kwa askari!?

Mda mwengine the boss hata saa ukosea majira
 
Kenge mama yako nguruwe wewe. Wapi nimetaja uislam hapa
...............Haha nyie si wazee wa kujificha ficha?kwa tunaosoma katikati ya mistari mapema sana tunawastukia.

Huyo mkiambiwa alikuwa anatekeleza vile vilivyoandikwa kwenye kitabu chenu mtasema hapana wakati huo huo mkisikia wamelipua jamii fulani mnakusanyana humu mnashangilia.

Tumewazoea
 
Nipo nyumbani kwako na mimi familia yako.kama usemavo alikuwa mwanafunzi wa hapo
Kwa nini nimekuuliza hivo
The boss inaonesha una imani ndiyo inakuchanganya
Kitendo cha mtu kuwa sehemu isiyo kwako hata mimi ukinikuta kwako lazima utanishuku au kutonielewa!
Ki vipi
Huyo dogo alikuwa na pass ya kufika hapo kenya!
Huyo dogo pale chuo yeye alikuwa mwanafunzi kama unavomtetea?!
Kwa nini ajifiche kama sio muhanga na yeye hangekuwa kajisalimisha kama wanafunzi waliomba msaada kwa askari!?

Mda mwengine the boss hata saa ukosea majira

Ndo maana nilisema Una tatizo la kuelewa
Hoja zangu nyingi zime base kwenye maswali
Kuuliza zaidi kuliko kupinga..

Hata niliposema kitu hakiko sahihi nimekubali waliokuja kunikosoa...
Na nimeongea waziwazi hapa nina speculate Tu kuwa hakuwa na hatia
Au pengine alikuwa brainwashed kuingia huko..

Kuna mtu humu kasema dogo alipewa Bomu
Akaenda kujificha badala ya kulipua Hilo bomu...
Sasa gaidi gani gani anaogopa kulipua bomu na kujificha???

Nchi zenye mahakama na mifumo mizuri huyu
Dogo asingehukumiwa maisha .
Hakimu pengine alikuwa emotional

Hakuna sehemu niliposema huyu dogo ni 100
Percent innocent au hakushiriki kabisa..

I hope umenielewa
 
Kwa hiyo wewe una uwezo zaidi ya mahakama na polisi kuchunguza.
Maana ndio kazi ya watanzania wajuaji
 
Shuleni alipewa Suspension kwa kosa la kuvaa barakashia parade,maana aliambiwa avue akagoma, Mkuu wa shule akamwambia aende nyumbani akijua ya kwamba jamaa ataogopa na kuomba msamaha lakini jamaa alibeba vitu vyake akasepa asubui mapema na hapo shule tukijua ya kwamba Jamaa kaenda kwao
Dini imempumbaza kabisa
 
Tangu mwazo wa Komenti zake huyu jamaa ni wale wale mkuu.

Umeona ulivyo na uwezo mdogo wa Ku reason?

Mtu akiwa muislam haruhisiwi kutoa hoja tofauti humu na mahakama?
Hapa tunajadili hukumu yake na kosa alilofanya..

Je mahakama imemkuta na hatia Kwa kosa
La mauaji?Au kakutwa na hatia Kwa kukutwa
Eneo la mauaji bila maelezo ya kuridhisha?

Jitahidi Ku stick na mada kuliko personal attack
 
Kwa hiyo wewe una uwezo zaidi ya mahakama na polisi kuchunguza.
Maana ndio kazi ya watanzania wajuaji

Uwezo wako unajionesha
Kwahiyo hakuna mahakama za rufaa hata huko Kenya?
Umeeelewa niliposema huyu dogo angepata
Lawyer mzuri asingefungwa maisha?..

Mahakama zote zina binadamu ambao wanakosea pia au kuwa biased na mambo mbalimbali au kuwa emotional pia..

Wapi niliposema huyu dogo kaonewa?
Mada yote nimesema pengine hakujieleza vizuri ...

Ndo maana kuna mahakama za rufaa dunia nzima
 
Ni kosa kisheria Mtanzania kwenda Kenya?
Kijana wa Mwamedi angalia huyu gaidi asije chukua mabikira 72 akawaka tamaa kuongeza wengine mpaka akumalizie nawewe yakhee

Au ule mvinyo wa akhera utakutosha inshaalah

By Kafir / Galatian
 
Uwezo wako unajionesha
Kwahiyo hakuna mahakama za rufaa hata huko Kenya?
Umeeelewa niliposema huyu dogo angepata
Lawyer mzuri asingefungwa maisha?..

Mahakama zote zina binadamu ambao wanakosea pia au kuwa biased na mambo mbalimbali au kuwa emotional pia..

Wapi niliposema huyu dogo kaonewa?
Mada yote nimesema pengine hakujieleza vizuri ...

Ndo maana kuna mahakama za rufaa dunia nzima

Kazi ya polisi na mahakama ni hipi mpaka kujua sio muhusika au muhusika?!
Kama unaona alishindwa kujieleza wamemuonea basi hata vitengo vya usalama hapo kenya basi havifanyi kwa weledi au kutokuwa makini!?
Kwa nini kukutwa hapo!
 
Unauliza maswali huku majibu yanajulikana?
Wangekuwa wanafanya kazi Kwa uweledi wangeshambuliwa kibwege vile mara zote zile? Hadi na watu kama hawa ambao wanaogopa hata kurusha bomu wanapanda juu ya Dari kujificha??
 
Back
Top Bottom