Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Mkuu unaelewa kila kitu ila unajitoa ufaham, kuna wadau wameonyesha baadh ya fursa, lia mazngra yetu unayajua vizuri kwan ni nyanya tu inaweza kufanyiwa biashara?? hata hivyo hiyo nyanya inaweza ikafanyiwa biasha na msururu mrefu wa watu.kuna mkulima,mchuuzi, mlanguzi, msafirishaji, dereva,mtengeneza packing za mazao yatokanayo na nyanya, mpaka hukoo viwandani n.k.
Usitake kuwapotosha vijana kwa kutokuwaonyesha fursa!!
When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Mzugsji huyo jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazazi wengi hukaa na watoto wao sana kuliko mtu mwingine kwa hiyo mzazi ndio atumie fursa hiyo kumuelimisha mwanae kwa sababu mda anao wa kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha utani,maharage kilo mbili 70m hayo maharage ya dhahabu?!
Mkuu anything is possible kupitia darasa za motivational speakers!

Pesa zipo nje nje! Ni vile tu macho yenu yana tongotongo nzito mmeshindwa kuziokota!

Hata ukitaka ku download pesa ni rahisi mno! Unahitaji laptop tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tatizo unasoma tu bila kutafakari.

Uzi unaffahamisha na kuwalenga wale wasio na ajira.

Wenye ajira hawajaambiwa waache wakajiajiri,huo utakuwa upunguwani.

Wenye ajira waendelee na ajira zao maadamu wana malengo yao.

Ila je yule ambae hana ajira kabisa akae tu ati kisa kuna madaktari wameajiriwa ?

Akae tu na kuilaumu serikali wakati ambao anauwezo wa kuhangaika na kazi mbili tatu za kujiajiri ?

Ukiangalia nimegusia kuwepo kwa wasomi wengi na kuwepo kwa ajira chache,hakuna niliposema watu wakatae ajira kabisa.ila nilichosema ni kuwa watu wawaambiw watoto wao kuhusu kujiajiri pia.

Yaani mzazi usimuaminishe mwanao kuwa hakuna kitu kukosa ajira,mwambie kuwa kuna kukosa ajira,je atakula wwpi,atatafuta vipi ?

Hilo ndilo kusudio.

Unahitajika usome na kutumia maarifa sio unasoma tu mkuu alafu tunapata shida tena ya kufafanua wakati maudhui yako wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huyo Binti wa Mwz dingi yake ni fogo sana tu anaitwa Lema,ndio Mwenye ile Club ya Villa Park,maduka Spares,Magorofa ya hostels za wanafunzi wa chuo,yuko kwny real estates.

Kuna mdogo wake huyo demu anayeuza sijui makande yeye ile likizo ya chuo alikua anaenda Sharjah,dubai kufunga kontena la Spares za duka la dingi ake wkt nyie mmekomaa na ungese wa kwenda ku-volunteer huko halmashauri au vi-NGO uchwara.Na mtu akikutana na huyo dogo amejiajiri akiwa ametoka shule anahisi na yeye atafuata mkumbo tu.

Watu wanaambiwa tu anauza sijui Makande waambie ofisi zake ziko wapi kama watakuonyesha wkt huyo sister mwenyewe huyo yupo anauza duka la dingi yake la Spares full time.
 
Unakatisha vijana tamaa.
 
Hahahaha sasa business ya makande si anafanya for fun. We unadhani biashara hio kwamba anaitegemea sana ikiwa kwao mipunga ya kutosha ipo?
 
Hahahaha sasa business ya makande si anafanya for fun. We unadhani biashara hio kwamba anaitegemea sana ikiwa kwao mipunga ya kutosha ipo?
Hahah sasa kuna watu waliona ile interview yake sijui anauza makande wakawa Inspired mbaya kabisa na wakajua hio biz ndio anayoitegemea.
 
Hahah sasa kuna watu waliona ile interview yake sijui anauza makande wakawa Inspired mbaya kabisa na wakajua hio biz ndio anayoitegemea.
Mtoto wa Fogo huyo hawez tegemea kuishi kwa kuuza kande hata siku moja. Kwanza wateja wa kununua sahani ya kande 5000 ni rafiki wa babaake na ambao ndio wateja wao wakubwa watu wenye fedha.

Kande wananunua kwa heshima ya mzee tu! Sio kama wanazimaindi sanaaa.

Sasa we mtoto wa sakara jitusu uanze kuuza hizo kande buku5 uone kama kuna raia atasogea.
 
Peleka mtoto wako shule asome akikuona unajiajiri ataiga ataanza kujufunza sasa wewe kutwa uko na likitambi lako nyuma ya laptop umeajiriwa unadhani huyo mtoto ni malaika aote kuja kufungua biashara yake?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah ukikutana na Motivational Speakers watakwambia add value kwny hayo makande,fanya packaging nzuri weka na strawberry pembeni utauza bei unayotaka.

Hapo kwny watu kununua kande sababu ya influence ya dingi ake umenikumbusha wkt Klyn anafungua sehemu yake ya kuuza yale ma-furniture yake ya mamilioni niliwaona wakina Juma Mwapachu na wadau kibao wakimuunga mkono Kylin kwa heshima ya rafiki yao Mengi lkn sidhani kama baada ya Mengi kusepa kama bado wanaunga mkono juhudi au la.
 
Teheheheeee..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tengeneza jina kwanza baadae utatengeneza pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…