Centia2
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,018
- 1,640
Mkuu unaelewa kila kitu ila unajitoa ufaham, kuna wadau wameonyesha baadh ya fursa, lia mazngra yetu unayajua vizuri kwan ni nyanya tu inaweza kufanyiwa biashara?? hata hivyo hiyo nyanya inaweza ikafanyiwa biasha na msururu mrefu wa watu.kuna mkulima,mchuuzi, mlanguzi, msafirishaji, dereva,mtengeneza packing za mazao yatokanayo na nyanya, mpaka hukoo viwandani n.k.
Usitake kuwapotosha vijana kwa kutokuwaonyesha fursa!!
When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
Usitake kuwapotosha vijana kwa kutokuwaonyesha fursa!!
Sasa kila mtu akiwa mjasiriamali itakuwaje?
Ujasiriamali wenyewe wa kuuza nyanya!
Hebu tuwe serious watanganyika!
Ujasiriamali ni kipaji ambacho sio wote wako nacho! Ujasiriamali ni taaluma!
Kila mtu atembeze tenga la nyanya patatosha kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.