Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Sina mpango wa kua motivational speaker, I run my own businesses na nilianza mdogo tu toka nipo Tanzania, kaa unapoteza muda kuangalia series za wakorea asubuhi hadi jioni uone kama hela itajileta.
Naona unajielezea jinsi unavyopenda kuangalia series za Wakorea 24/7.
 
Shida inaanzia kwenye elimu tunazopewa kuanzia msingi hadi chuo mtu unafundishwa kuajiriwa tu. Ndo mana asilimia kubwa ya wahitimu wanawaza kuajiriwa na sio kujiajiri. Mambo yanatakiwa kubadilika kuanzia elimu ya msingi.
Sahihi kabisa.

Sasa kama mfumo haubadiliki basi sisi wazazi tuanze kuwajengea watoto wetu mfumo mpya tukowa nyumbani tunawafundisha kidogokidogo mpaka wakikua wanajua lipi ndilo na lipi silo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mama kumbe, inabd ajitahd namna ya kuwasilisha mambo, elimu yake asiitumie kujimwambafy kwa mates wenzake wa JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni bibi mkuu sio mama.

Kuna siku alisema kuwa alihitimu masomo miaka ya 80 ama 70 nchi za nje,can you imagine umri wake ?

Lakini umri wake hauna mahusiano na mambo anayoandika.

Ila tatizo tulimtia adabu sana kwenye baadhi ya nyuzi zake ndio maana ana bifu kama hivi yale pale kajipanga tuanze kubishana na kukoseana adabu.

Ila nashkuru nimekuwa nampotezea sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema vizuri sana fursa za biashara Tz bado zipo nyingi.Ukosefu wa bunifu unafanya zionekane ngumu.
Kuna mtu aliwah kuzumgumzia juu ya kuongezea bidhaa thamani,hakuna anayefikiria hayo.Kazi/shughuli nyingi bado zinafanywa KIJIMA mno!

Kuna miji mingi sana mpaka sasa bucha zake hazina mashine ya kukatia nyama!(fursa!)
Kuna gereji za magari mpaka sasa hazina vifaa vya kisasa,hata carwash! (fursa)
Maji bado yanauzwa kwa kuzungushwa na mkokoten! (fursa)
Mji mkubwa tena katikati ila mamantilie wanahudum kwa uduni mnoo, ukiboresha biasha ya mgahawa siyo lazima bei ya chakula ipae(fursa)
Watu wabo wanalima kwa jembe la mkono, trekta kodisha lima mashamba uza(fursa)
MAMBO NI MENGI, WATENDA KAZI NI WACHACHE, KISA WAMESOMAMO, ETI HAWANA MITAJI(MBONA MAMILION YA KULIPIA SHULE YALIPATIKANA??


When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 


Hizi mambo jf huwa hatuzipendi kuzisikia mkuu..nakukumbusha tu!_😅
 
Nadhani, maana huwez kukosoa kwenye vitu vidogo vidogo hivyoo.Kwani umesikia hapa anafanyiwa usahili mpaka umtake kuandika vizuri??
Huyu dada ana disorder moja hivi kibailojia, nasubiri ajibu niiseme.

Sent using Jamii Forums mobile app

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Siyo kweli, mimi nimeajiriwa ila nahudum mgahawani na ni mshauri wa DJ kwenye klab flan!!
Tatizo mnaohubiri hii habari wote mmeng'ang'ania maofisini halafu mnajidai mnashauri wengine.

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Sasa kama wewe utaipata hiyo nafasi wakati sisi tupo maofisini ?

Ndo mana tunakuambia ukajiajiri ili umiliki hayo maghorofa kama sisi wa maofisini.

Au ulitaka uambiwe kaa nyumbani tu ulale ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…