Dropout
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 641
- 533
Huyu dada ana disorder moja hivi kibailojia, nasubiri ajibu niiseme.Sio Enstein, ni Einstein.
Ujinga ni ujinga tu, hakuna ujinga mkubwa na mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada ana disorder moja hivi kibailojia, nasubiri ajibu niiseme.Sio Enstein, ni Einstein.
Ujinga ni ujinga tu, hakuna ujinga mkubwa na mdogo.
Naona unajielezea jinsi unavyopenda kuangalia series za Wakorea 24/7.Sina mpango wa kua motivational speaker, I run my own businesses na nilianza mdogo tu toka nipo Tanzania, kaa unapoteza muda kuangalia series za wakorea asubuhi hadi jioni uone kama hela itajileta.
Huyu mama ni mkurupukaji.Huyu dada ana disorder moja hivi kibailojia, nasubiri ajibu niiseme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mama kumbe, inabd ajitahd namna ya kuwasilisha mambo, elimu yake asiitumie kujimwambafy kwa mates wenzake wa JF.
Sahihi kabisa.Shida inaanzia kwenye elimu tunazopewa kuanzia msingi hadi chuo mtu unafundishwa kuajiriwa tu. Ndo mana asilimia kubwa ya wahitimu wanawaza kuajiriwa na sio kujiajiri. Mambo yanatakiwa kubadilika kuanzia elimu ya msingi.
Huyo ni bibi mkuu sio mama.Ni mama kumbe, inabd ajitahd namna ya kuwasilisha mambo, elimu yake asiitumie kujimwambafy kwa mates wenzake wa JF.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vizuri sana fursa za biashara Tz bado zipo nyingi.Ukosefu wa bunifu unafanya zionekane ngumu.Wengi wazembe hawajui biashara, wangekaa wanasoma business wangeona wanachofanya ni upuuzi, wengi wana hela ila tatio wanafanya biashara ileile hakuna innovation, mtu moja akifungua hardware shop wote wanaiga, unakuta mwisho wa siku mtaa moja una maduka 10 ya hardware na wote wana product zilezile, hapo unategemea uwe milliioinaire kivipi?
Sio innovative na hapo ndo wengine tunapopitia, anzisha biashara ambazo wengine kucopy ni ngumu mno, wanaofaniikiwa kucopy hadi kuja kukufikia ni miaka ushafika mbali unabadiilisha business. Biashara is like war, you always have to stay ahead au wengine watakuua.
Hakuna sehemu rahisi kufungua biashara kama Tanzania, nashangaa sana wanaokaa ofisini wanalipwa vilaki moja au hata kamilioni, sasa kamilioni kwa mwezi unafanyia nini?
😅watu wamejiajiri wanapiga milioni kila siku wengine ambao hawapo vizuri angalau inaingia kila wiki profit hiyo ni ya kutumia. Uvivu mwingi sana
Huyu dada ana disorder moja hivi kibailojia, nasubiri ajibu niiseme.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina mpango wa kua motivational speaker, I run my own businesses na nilianza mdogo tu toka nipo Tanzania, kaa unapoteza muda kuangalia series za wakorea asubuhi hadi jioni uone kama hela itajileta.
Tatizo mnaohubiri hii habari wote mmeng'ang'ania maofisini halafu mnajidai mnashauri wengine.
Nimegundua kumejaa watoto humu wanaodeka nyumbani daily kununuliwa bundleHizi mambo jf huwa hatuzipendi kuzisikia mkuu..nakukumbusha tu!_😅
Nimegundua kumejaa watoto humu wanaodeka nyumbani daily kununuliwa bundle
Sasa kama wewe utaipata hiyo nafasi wakati sisi tupo maofisini ?Acheni kutudanganya vijana ooh sijui mkajiajiri sijui ajira hazina hela pumbavu zenu mbona nyie mmekomaa hukohuko maofisini kwenu tunawaona mnagenga magorofa na kununua magari ya kifahari alafu mnakuja humu mnasndika upumbavu sijui mtu mwenye degree akauze nyanya mamaee
Sent using Jamii Forums mobile app