Hakuna kilicho haribika,mleta mada amezungumzia nini kifanyike na wewe umezungumzia ni kwa namna gani kifanyike,labda kama umekusudia kumkosoa tu.safuher,
Fikra zako si sahihi.
Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.
Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.
Tanzania ipi mkuu? Kama hi hi ya JPM naomba utupe vigezo hivyo mkuuHakuna sehemu rahisi kufungua biashara kama Tanzania, nashangaa sana wanaokaa ofisini wanalipwa vilaki moja au hata kamilioni, sasa kamilioni kwa mwezi unafanyia nini?
[emoji28]watu wamejiajiri wanapiga milioni kila siku wengine ambao hawapo vizuri angalau inaingia kila wiki profit hiyo ni ya kutumia. Uvivu mwingi sana
Hakuna kilicho haribika,mleta mada amezungumzia nini kifanyike na wewe umezungumzia ni kwa namna gani kifanyike,labda kama umekusudia kumkosoa tu.
Na maneno tupu yanaathari pia maana hata hiyo sumu aliyoisema mleta mada imetokana na hayohayo maneno,wazazi wanaaminisha sana watoto kuwa asome ili aajiriwe,unakuta mzazi hana ajira rasmi lakini anahangaika kumsomesha mwanae akiamini ataajiriwa na kufanikowa.
Na mwingine ni mfanya biashara Mkubwa na yeye anahangaika kumsomesha mwanaeashule ya gharama hadi nje ya nchi mwisho wa siku mtoto akirudi anakuja kupika makande.Maana hawajui huko chuoni walifuata nini.
Hivyo inabidi kubadilika maana hali imebadilika ili tuendane na mazingira.
Maisha hayaanzi baada ya kuajiriwa au kumaliza chuo Bali haya tunayoishi ndio maisha.
Watu ni wengi sana .
Ulichosema ni sahihi , Wazazi wengi bado wameshikilia imani kubwa ya Soma mwanangu uajiriwe na serikali uwe na maisha mazuri.
Watoto wanaposoma, nakuishia kua Waalimu wa HKL ,hajira hamna, wengi wao huwa hawana tena Fikra Mpya kichwan.
Wazazi wawahimize wanao kusoma si kwaajili ya Kuajiriwa tu Bali kujiajiri ..nikweli nawazi hapa Duniani kazi za kuajiriwa zinakupa Mahitaji muhimu tu, lkn nyingi hazifanyi vijana wengi kua vile walivyopanga kua.
Na vijana vilevile waache kushikilia Akili zao , Akili ukiishikilia hautafanya kitu chochote.
Unakuta kijana anayepata Mkopo 80% , hata kufikiria nn afanye ambacho kinaweza zalisha hiyo pesa , hamna...yeye kichwan ni Nguo, mademu na Anasa...sababu anajua ukimaliza, anaajiriwa
Baadae wakirudi kitaani ,kulia hakuishi !!.
Sasa kama wewe utaipata hiyo nafasi wakati sisi tupo maofisini ?
Ndo mana tunakuambia ukajiajiri ili umiliki hayo maghorofa kama sisi wa maofisini.
Au ulitaka uambiwe kaa nyumbani tu ulale ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu asikupotezee mda hajui lolote, hajui trend ya biashara hapa nchini kwa sasa
Chuki binafsi .......she is intelligent woman I like her mature commentsHuyo ni bibi mkuu sio mama.
Kuna siku alisema kuwa alihitimu masomo miaka ya 80 ama 70 nchi za nje,can you imagine umri wake ?
Lakini umri wake hauna mahusiano na mambo anayoandika.
Ila tatizo tulimtia adabu sana kwenye baadhi ya nyuzi zake ndio maana ana bifu kama hivi yale pale kajipanga tuanze kubishana na kukoseana adabu.
Ila nashkuru nimekuwa nampotezea sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu asikupotezee mda hajui lolote, hajui trend ya biashara hapa nchini kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno yana nafasi katika mabadiliko.Ndio muanze nyie kuonyesha mifano ya hawa mnayoandika humu. Anzeni nyie kujiajiri ili watoto wenu waige waone kumbe inawezekana.
Wengi wenu wenye ajira hamjawahi ata kufungua banda la kuonesha mpira ila ndo mko mstari wa mbele vijana wajiajiri vijana wajiajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi sawa mkuu.Chuki binafsi .......she is intelligent woman I like her mature comments
Sent using Jamii Forums mobile app
Genuine Entrepreneurs humu JF ni wachache sanaaaana na hua tunakutana nao huko PM tunaongea mambo ya msingi na wala hawanaga mambo ya kuji-brag na kujifanya eti 'they made it'.Acheni kutudanganya vijana ooh sijui mkajiajiri sijui ajira hazina hela pumbavu zenu mbona nyie mmekomaa hukohuko maofisini kwenu tunawaona mnagenga magorofa na kununua magari ya kifahari alafu mnakuja humu mnasndika upumbavu sijui mtu mwenye degree akauze nyanya mamaee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah wishfull thinkers ni wengi sana humu JF.Ameeen..!amen amen amen!
Ujumbe umefika kakaMkuu mama amekusudia kukosoa tu.
Huyo mama sina jema kwake,ana matatizo.
Sidhani kama uzi wangu haukuwa na makosa wmbayo wana JF wengine hawakuona,lakini ni makosa ya kawaida yasiyobadili maana ya uzi mzima.
Ila huyo bi mkubwa akishupalia jambo hatari.
Maneno yana athari kubwa tu kwa sababu watoto wengi wanatamani kuajiriwa kutokana na kuambiwa na wazazi wao hivyo ilhali wazazi wanauza nyanya tu.
Kama vitendo ndo vinaathiri kwa nini watoto hawa nao wasitake kuuza nyanya kama wanavyomuona baba yao kwa vitendo?
Hiiyo mama ni mtu wa kupuuzwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeehHuyu asikupotezee mda hajui lolote, hajui trend ya biashara hapa nchini kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania hiyohiyo, hivi huoni kuna millionaires na billionaires na wanabiashara Tanzania hapohapo sio hata nchi nyingine?Tanzania ipi mkuu? Kama hi hi ya JPM naomba utupe vigezo hivyo mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajipa hopes eh!?bora kujipa moyo mkuuHahah wishfull thinkers ni wengi sana humu JF.
Tanzania hiyohiyo, hivi huoni kuna millionaires na billionaires na wanabiashara Tanzania hapohapo sio hata nchi nyingine?
Hela ipo ni watu wazembe tu.
Sure mkuu,wengi wanafanya 'mind masterbation' na sio genuine entrprenuers.Tunajipa hopes eh!?bora kujipa moyo mkuu