Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Nipo kwenye technology, mainly online shopping ila biashara kibao, sibagui kazi as long as inaingiza hela
Unafanyaje? nifundishe na mimi nitafute hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo kwenye technology, mainly online shopping ila biashara kibao, sibagui kazi as long as inaingiza hela
Haya mkuuHahah hapana mkuu mi mwenyewe kitu cha 1g-fe kilinibeba sana naikubali mpk leo,kwa hadhi mjomba aliyokua amejiweka yeye kuendesha brevis ni miujiza hahah.
Mkuu suala la kukosa ushindani wa ndani sio fursa hapa, tatizo kubwa ni initial capital, technical knowledge and exposure, na govt burecrancy (ukilitimba)......mwaka 2009 kilinichukulia wiki moja kuanzisha water purification process na kuuza maji Johannesburg, nikaangiza ndugu yangu anzishe kitu kama hicho hapa ikashindikana kabisa kwasababu ya vizingiti vya serikali kama TRA watu wa Mazingira, TBS , kavamiwa eti Ana kiwanda bubu...... ...wakati ni small scale industry ilio ajiri watu 4 tu, sio hilo tu ni mengi, mambo sio rahisi hapo ndomaana watu wanapenda kuajiriwa kuliko ku risk pesa zao kwa serikali isio eleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una skills gani? Hua napenda kuanzia hapo, ukisema uige nachokifanya doesn't mean utaweza kukifanya, nina computer science skills natengeneza app zangu mwenyewe, websites e.t.c. Sio lazima uwe na hizo skills though, ukiwa hata na marketing skills nzuri online kuna kupiga hela sana tu. Hamuoni insta millionaires siku hizi walivyojaa bongo?Unafanyaje? nifundishe na mimi nitafute hela
Sahihi kabisaMkuu suala la kukosa ushindani wa ndani sio fursa hapa, tatizo kubwa ni initial capital, technical knowledge and exposure, na govt burecrancy (ukilitimba)......mwaka 2009 kilinichukulia wiki moja kuanzisha water purification process na kuuza maji Johannesburg, nikaangiza ndugu yangu anzishe kitu kama hicho hapa ikashindikana kabisa kwasababu ya vizingiti vya serikali kama TRA watu wa Mazingira, TBS , kavamiwa eti Ana kiwanda bubu...... ...wakati ni small scale industry ilio ajiri watu 4 tu, sio hilo tu ni mengi, mambo sio rahisi hapo ndomaana watu wanapenda kuajiriwa kuliko ku risk pesa zao kwa serikali isio eleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia pekee ambayo serikali itafanya kupunguza wasomi wasiohitajika ni kutowaajiri wapambane na hali zao tu mtaani.
Sasa hivi wasomi wengi hawana ajira.hii inapelekea watoto walioko shule wawe na kazi moja tu ya kuondoa ujinga mana hskuna matumaini ya kuwa na ajira za kutosha kutokana na wimbi la wasomi wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alikujaga dada mmoja humu JF kipindi cha nyuma,Full kujiita ladyboss,ponda sana vijana waliomaliza chuo akisema wapambane wasitegemee ajira tu,full kushauri vijana wapambane sana la sivyo atawalea mwenyewe kwa pesa zake mara paaaap ID ikaunganishwa na ID yake nyingine akitafuta mteja wa kununua kitanda chake na godoro lake used maisha yamekua magumu anataka kusepa mjini,hahah
Nikasema tu hiiiiiiiiiiiiiiiiiii,modes ni Konyo sana aiseeeee.
Mimi binafsi sikubaliane na hilo wtznia wengi wanataka kujiajiri ila wengi hawana 'entrepreneur skills' na mfumo wa elimu yetu hawujatusaidia kwenye kuja ajiri ni mbovu sana
Maneno yana nafasi katika mabadiliko.
Sio lazima vitendo,al muhimu wapo waliojiajiri inatosha kuangalia kwao.
Lakini kumbuka kuwa unaambiwa ujiajiri kwa faida yako mwenyewe na sio kwa faida ya anayekuambia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una skills gani? Hua napenda kuanzia hapo, ukisema uige nachokifanya doesn't mean utaweza kukifanya, nina computer science skills natengeneza app zangu mwenyewe, websites e.t.c. Sio lazima uwe na hizo skills though, ukiwa hata na marketing skills nzuri online kuna kupiga hela sana tu. Hamuoni insta millionaires siku hizi walivyojaa bongo?
Mkuu kwani ukichukua ushauri wake ukaufanyia kazi ni dhambi? Mbona kama unataka kumlaumu jamaa kana kwamba ye ana jukumu la kukufundisha maisha?
Pia badili namna ya kuparceive mambo,sijaona sehemu umuulize mtoa mada labda mfano, kwa ambao wako kwenye hali hii na hawakupata wasaa wa kujifunza kabla wanaweza kuanzia wapi.
Yaani we unaona kama kaja hapa kuwananga wasio na ajira. Hata kama ingekuwa hivyo, jifunze jambo moja litakusaidia mkuu, try to get the best out of anything regarsless of bad it may be.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mtu anakuja hapa kuita watu wazembe kisa hawajajiajiri blah blah....kujiajiri sio rahisi kama watu wanavyojaribu kuonesha!Sasa kumbe inahitajika Skills tena? Kumbe elimu bado inahitajika?
nimesoma elimu ya utawala.
Uhalisia 100% tazama jamii zinazokuzunguka.Hata kwa maneno anaweza akaelewa kama ambavyo darasani anaelewa. Yaani unataka kwakuwa mimi ni mwajiriwa basi nihubiri habari za kuajiriwa? au nikitaka mwanangu ajue kuwa hakuna ajira basi niache kazi nijiajiri? unaongea kiuhalisia ama?
Mimi naona mtoa mada yuko sahihi sana, ajira hakuna lakini pia hazina maslahi mazuri kiivoooo...ni muhimu kuwafandisha namna ya kujiajiri hata kama sisi tumeajiriwa, ni muhimu pia kuwaeleza kuwa ajira hakuna kwakuwa wasomi washakuwa wengi sana nyakati hizi. Kuna mwingine ametoa pendekezo la kuwapeleka watoto VETA hilo pendekezo ni zuri sana.
Uhalisia 100© tazama jamii zinazokuzunguka.Hata kwa maneno anaweza akaelewa kama ambavyo darasani anaelewa. Yaani unataka kwakuwa mimi ni mwajiriwa basi nihubiri habari za kuajiriwa? au nikitaka mwanangu ajue kuwa hakuna ajira basi niache kazi nijiajiri? unaongea kiuhalisia ama?
Mimi naona mtoa mada yuko sahihi sana, ajira hakuna lakini pia hazina maslahi mazuri kiivoooo...ni muhimu kuwafandisha namna ya kujiajiri hata kama sisi tumeajiriwa, ni muhimu pia kuwaeleza kuwa ajira hakuna kwakuwa wasomi washakuwa wengi sana nyakati hizi. Kuna mwingine ametoa pendekezo la kuwapeleka watoto VETA hilo pendekezo ni zuri sana.
Sasa kumbe inahitajika Skills tena? Kumbe elimu bado inahitajika?
nimesoma elimu ya utawala.
Utakuwa raia wa kigeni bila shaka, ila kama ni wale wale wenzangu na mie from "Kithomboko" huwezi niambia kujiajiri ni rahisi namna hio hapa bongo.Hakuna sehemu rahisi kufungua biashara kama Tanzania, nashangaa sana wanaokaa ofisini wanalipwa vilaki moja au hata kamilioni, sasa kamilioni kwa mwezi unafanyia nini?
😅watu wamejiajiri wanapiga milioni kila siku wengine ambao hawapo vizuri angalau inaingia kila wiki profit hiyo ni ya kutumia. Uvivu mwingi sana
Nimezaliwa Tanzania kijijini, nikasoma nikafaulu nikajisomesha mwenyewe, nikaenda kusoma chuo nje nikakomaa fungua bishara kibao zikafeli hadi siku moja moja ikahit. So najua vizuri struggle za maisha nimetokea kwenye umasikini hata 500 kuna muda ilikua shida, hiyo ndiyo ilikua drive ya kunisukuma naona umasikini ni ka ujinga hasa kwa kijana mdogo mwenye nguvu.Utakuwa raia wa kigeni bila shaka, ila kama ni wale wale wenzangu na mie from "Kithomboko" huwezi niambia kujiajiri ni rahisi namna hio hapa bongo.
Caucasians ama wazawa walio explore maisha ndio wanaziona fursa kirahisi tofauti nasie wa humu humu nchini ndio maana yule binti toka USA aliamua kufungua kijiwe cha kuuza kande kwao huko Mwanza.
Alilifanya direct baada ya kutoka chuo sidhani kama alipoteza muda wa kusaka ajira maana aliiona hela tayari. Sasa jiulize kuna raia wangapi Mwanza ambao ni graduates wa Masters na hawakuwaza hata kupiga kiwi.
Sasa hivi sio watoto tu wanaolalamika kuwa hakuna ajira bali mpaka wazazi wa watoto hao wanalalamika ajira hakuna jambo ambalo linafanya familia nzima inalaumu tu mwanzo mwisho na hakuna anaezinduka hapo.
Ni bora aliyejiajiri akawa anapitia magumu wakati huu kuliko yule ambaye hana ajira kabisa wakati huu can you imagine the situation?
Hii ni kwa sababu mzazi alimjenga mwanawe tokea zamani kuwa soma upate ajira,soma upate ajira mwanangu.
Hii ni sumu mbaya sana kwa watoto mwisho wa siku mtoto anaona kuwa bado hajaanza maisha mpaka apate ajira kwanza,wakati maisha yanaanza unapojitambua na kuwa na malengo yako.
Kwa ambao wana ajira wakomae na ajira zao.
Mwambie mwanao sasa hivi wasomi wengi sana na ajira zinakuwa chache mno hasa katika mambo ambayo wengi wanasomea, kumbuka ukisoma H.R kuna mamia huko nyuma wamesoma kwa hiyo usitegemee kuwa wewe ni mtu muhimu sana uajiriwe wewe peke ako,pengine ukakosa jipange kisaikolojia.
Kiukweli maisha yanakoenda inaonekana kuwa watu wanashida sana na ajira kuliko hiyo ajira ilivyokuwa na shida na watu.
Bwana einsten aliwahi kusema kuwa : where there is a difficult,there is an opportunitiy.
usitake mambo rahisi rahisi tu alafu mafanikio yaje simple kana kwamba unafanya peke yako jambo hilo.
Watu ni wengi,wasomi ni wengi ajira ni chache sana.serikali yenye akili haiwezi kuwaajiri watu ambao hawana shida nao,haiwezi kuajiri watu ambao hata wasipokuwepo kazi zitaenda bila shida.hata wewe upo hivyo.
Mwambie mwanao maisha yanaanza akijitambua na kuwa na malengo na maisha hayaanzi akiajiriwa,mwambie hata akiwa shule ana haki ya kujiajiri na kuwa mjasiriamali.
Mtoto harithi ajira ya baba,mtoto anarithi biashara tu.
Sent using Jamii Forums mobile app