Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio mzazi aache kazi Maliasili au PSPF aanze kupanga mahindi ya kuchoma kitaani ili akuinspaya? 🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa navyofahamu mzee wako hawezi kufanya huo usenge.safuher,
Fikra zako si sahihi.
Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.
Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.
Huu ujinga wa Motivational Speakers kukushauri uwekeze au ujiajiri wakati yeye mwenyewe anategemea umpe hela ya kiingilio akale. Biashara kama lilivyo neno lenyewe ni mziki mnene. Labda uuze pipi na biskuti 🤣🤣🤣