Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

safuher,
Fikra zako si sahihi.

Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.

Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.
Kwahio mzazi aache kazi Maliasili au PSPF aanze kupanga mahindi ya kuchoma kitaani ili akuinspaya? 🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa navyofahamu mzee wako hawezi kufanya huo usenge.

Huu ujinga wa Motivational Speakers kukushauri uwekeze au ujiajiri wakati yeye mwenyewe anategemea umpe hela ya kiingilio akale. Biashara kama lilivyo neno lenyewe ni mziki mnene. Labda uuze pipi na biskuti 🤣🤣🤣
 
Ni kweli, na siku hizi bora upate elimu ya VETA kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kuliko mtu apoteze mamilioni kulipia chuo kikuu kusoma theories miaka 3-7 ni aheri aende NIT apate cheti cha udereva aanze harakati zake mapema tu au akasomee technical skills nyingine ambazo zitamnufaisha moja kwa moja akitoka chuo kama capentry, cherehani ama welding.

Sitarudia hili kosa kwa mtoto wangu. Shule ya msingi atasoma nzuri ya sekondari kawaida form 4 breki. Short course kisha mtaji aingie zake mtaani kupambana.
 
Shida inaanzia kwenye elimu tunazopewa kuanzia msingi hadi chuo mtu unafundishwa kuajiriwa tu. Ndo mana asilimia kubwa ya wahitimu wanawaza kuajiriwa na sio kujiajiri. Mambo yanatakiwa kubadilika kuanzia elimu ya msingi.
Imagine mwalimu anakutambieni, mie nna ajira yangu bana, mshahara unaingia sasa nyie leteni mchezo tu.
 
Acheni kutudanganya vijana ooh sijui mkajiajiri sijui ajira hazina hela pumbavu zenu mbona nyie mmekomaa hukohuko maofisini kwenu tunawaona mnagenga magorofa na kununua magari ya kifahari alafu mnakuja humu mnasndika upumbavu sijui mtu mwenye degree akauze nyanya mamaee

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakwambia ukiajiriwa huwezi kuwa tajiri, ila mkurugenzi na vibaraka wake wanaongeza magari uwani ndani ya muda mchache na wanafungua mabiashara makubwa makubwa pembeni wanajineemesha tu. Au hujaskia ripoti ya CAG kuanzia maliasili mpaka TPA.

Ajira tamu jamani ingawa umenyaji unategemea na sector uliopo. Unaweza usilipwe mshahara mkubwa ila genji tu zikakava magepu.

Huwezi fananisha salary slip na headaches za kupambana na kodi ya TRA, mwenye nyumba na kulipa wafanyakazi ukichanganya na ugonjwa wa Corona utapata jibu kamili kwanini walioko kwenye ajira wanaishia kuwa washauri tu. Yani ukimbie pupwe la Samsung na kubofya bofya Computer ukahangaike na mikaa ya moto na kugeuza mahindi darajani au kuzunguka na chupa za uji mtaani?
 
Mkuu ushauri wako ni mwema nimeupokea na nitakufanyia kazi.
Tatizo hawa watu wanaboa sana na ndio wapo wengi mitaani wanawananga sana vijana ambao hawajabaatika kupata ajira kama vile ni makosa yao kukosa ajira. Kila siku vijana ooh waache kutegemea ajira serikalini hazina tija ooh sijui hazilipi ooh sijui nn ukiwaangalia wao wamekalia izo nafasi miska nenda miaka rudi maofisini uko wanaota tu vitambi. Wanaongea vitu ambavyo hawaviishi wanawaambia vijna wajiajiri biashara zinalipa nk wakati wao kutwa kusubiria mishahara hawajawai kuuza ata vocha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, hata me nakubali si kazi rahisi kujiajiri. Lakini pia nimepata hamasa kubwa sana ya kuendelea kuamini katika kufanya biashara/ujasiriamali toka kwa watu walio ajiriwa na hawajawahi hata kuwa na biashara.

Mfano, mtu anakuonesha salary anayopokea, makato yake yote na kile kinacho salia kwa mwezi daah yani ni kiasi ambacho me nakipata kwa mtaji mdogo sana kwenye sehemu ya biashara zangu.

Wanakwenda mbali zaidi na kukueleza namna wanavyo nyanyasika kwenye ajira lakini tayari wamejivika vitanzi kama ndoa, familia na ndugu wanao wategemea hivyo wanakuwa na mnyororo mkubwa wa athari endapo wataamua kujiajiri na mambo yasiwe vizuri mapema.

Ukiwa muajiriwa unapoongeza juhudi na ubunifu ni ama matunda yote ale boss ama akushirikishe parcent ndogo sana.

Haya na mengine mengi yamenifanya nijikite zaidi kwenye kufanya shughuli zangu kuliko kuajiriwa, lakini kama ningeishia tu kusema kuwa mbona wao wameajiriwa na hawajawahi kufanya hizo biashara nami ningeangukia mule mule.

Haya mambo tuseme ukweli kila mtu na uelewa wake...! Mtu unakuja kustaafu unalipwa 80-120m! Kiuhalisia ukipata chanel nzuri kwenye bisshara kila mwaka unaweza save kwa kiwango cha chini kbs 4m...sema watu wengi hatuna financial education!
 
Tanzania hiyohiyo, hivi huoni kuna millionaires na billionaires na wanabiashara Tanzania hapohapo sio hata nchi nyingine?
Hela ipo ni watu wazembe tu.
Walianzaje, do you know their backgrounds?

Maana hata Dewji ni billionaire, watoto wa marehem mengi wale mapacha wawili pia ni millionaires japo hawajui hata andazi linapikwa vipi na linauzwaje mtaani!

Nioneshe huyo billionaire alieanza biashara mwaka jana tu baada ya kumaliza chuo na leo amefikia ubilionea!
 
Wanakwambia ukiajiriwa huwezi kuwa tajiri, ila mkurugenzi na vibaraka wake wanaongeza magari uwani ndani ya muda mchache na wanafungua mabiashara makubwa makubwa pembeni wanajineemesha tu. Au hujaskia ripoti ya CAG kuanzia maliasili mpaka TPA.

Ajira tamu jamani ingawa umenyaji unategemea na sector uliopo. Unaweza usilipwe mshahara mkubwa ila genji tu zikakava magepu.

Huwezi fananisha salary slip na headaches za kupambana na kodi ya TRA, mwenye nyumba na kulipa wafanyakazi ukichanganya na ugonjwa wa Corona utapata jibu kamili kwanini walioko kwenye ajira wanaishia kuwa washauri tu. Yani ukimbie pupwe la Samsung na kubofya bofya Computer ukahangaike na mikaa ya moto na kugeuza mahindi darajani au kuzunguka na chupa za uji mtaani?

🤣🤣🤣kuna mdada sayansi imelala pale...ana degree 2!lakini anapokea 600k! Hapana pigweni vipupwe tu vya samsung!
 
Walianzaje, do you know their backgrounds?

Maana hata Dewji ni billionaire, watoto wa marehem mengi wale mapacha wawili pia ni millionaires japo hawajui hata andazi linapikwa vipi na linauzwaje mtaani!

Nioneshe huyo billionaire alieanza biashara mwaka jana tu baada ya kumaliza chuo na leo amefikia ubilionea!

Hhaaha kuhustle kupo sana mzee baba tukubali tu...hakuna aloanza leo kesho akachomoka
 
Hhaaha kuhustle kupo sana mzee baba tukubali tu...hakuna aloanza leo kesho akachomoka
Sasa hiko ndio ambacho huwa hakisemwi, these guys or motivational speakers act like everything is easy kama kuvunja yai.
Oh watu wanapiga pesa sana tu bongo, biashara zinalipa sana blah blah mjiajiri vijana.

Hapo kuna constraints kama mitaji ambayo ndio wengi inawalostisha. Pia ukianza kuna incubation period inaweza last 6 months - 3 years kabla biashara haijaanza kukuneemesha kulingana na nature ya biashara yako. Hiko mbona hawakisemagi maana ndio kinawakimbizia watu kutaka ajira
 
Haya mambo tuseme ukweli kila mtu na uelewa wake...! Mtu unakuja kustaafu unalipwa 80-120m! Kiuhalisia ukipata chanel nzuri kwenye bisshara kila mwaka unaweza save kwa kiwango cha chini kbs 4m...sema watu wengi hatuna financial education!
You are very right Madam, tatizo watu wengi hawana msingi wa elimu za biashara hata kama ni informal inasaidia sana kujua abcs za business.

Binafsi niliingia kwenye biashara baada ya kumaliza form 4, na hapo sijui ilitokeaje nikakosa post ya form 5 na nilikuwa na division 2 na kwa miaka hiyo ilikuwa ni pass mark nzuri sana.

Kutokana na changamoto za kifamilia sikuweza kuafford private school nikazama mtaani. Nikafanya business kwa miaka 4 then nikaenda advance baada ya hapo chuo nikaunga.

Nilipomaliza nami nikajikuta kwenye mtego wa wahitimu wa kusaka ajira wakat nilikuwa na balance nzuri tu baada ya kutoka chuo kwa kuwa muda wote nasoma nikiwa likizo nilikuwa napiga mishe zangu nasave pesa.

Baada ya kuapply kwa miezi kadhaa huku nikitumbua 'mafao' yangu, nikatafakari hapa nisipojiongeza nitaishiwa. Nikaamua kuset deadline ya kutafuta ajira (mwaka mmoja tu) ndio muda niliojipa tangu nitoke chuo. Ulivopita sikuapply tena na hata ndugu na jamaa walipo nitonya kuna nafasi mahali niliitikia ila kiukweli sikuapply kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walianzaje, do you know their backgrounds?

Maana hata Dewji ni billionaire, watoto wa marehem mengi wale mapacha wawili pia ni millionaires japo hawajui hata andazi linapikwa vipi na linauzwaje mtaani!

Nioneshe huyo billionaire alieanza biashara mwaka jana tu baada ya kumaliza chuo na leo amefikia ubilionea!
Nimesema chochote kuhusu aliyemaliza chuo mwaka jana leo akawa billionaire? Mbona mnapenda kujaza watu maneno? Hahaha watu wavivu hua mnapenda kutafuta kila aina ya excuse kusupport uvivu wenu, hakuna entrepreneur utamuuliza akwambie mambo yalikua easy, eti ilikua straight line, the majority wamepitia shida sana kufikia walipo, sasa endeleeni kukaa mnalaumu serikali au kukosa hela muone kama zitajileta.

Inafika muda inabidi muelewe kitu kimoja muhimu sana, in this workd nobody gives a https://jamii.app/JFUserGuide about u, either usimame utafute njia ya kujitoa kwenye umasikini peke yako au ukae hapohapo coz no one will come and give you capital for free, so sota build the capital come up with a solution to a problem start a business fail, try again and again until you make it.

Mtu ambaye ameanza kulaumu capital hata kabla hajafikiria anataka kuanzisha biashara gani ndiyo ustupid wenyewe huo naoongelea. Mtu ana hela ya kuweka bundle daily analalamika capital? Haha si afungur insta page akusanye followers kibao aanze kuuza hata simple products twice the price akue polepole. Useless
 
Shida inaanzia kwenye elimu tunazopewa kuanzia msingi hadi chuo mtu unafundishwa kuajiriwa tu. Ndo mana asilimia kubwa ya wahitimu wanawaza kuajiriwa na sio kujiajiri. Mambo yanatakiwa kubadilika kuanzia elimu ya msingi.

Umesahau kuwa mkoloni alikufanya mtumwa na umerithi elimu yake na unaona elimu bora kuliko zote ni hiyo ya "secular"?
 
Walianzaje, do you know their backgrounds?

Maana hata Dewji ni billionaire, watoto wa marehem mengi wale mapacha wawili pia ni millionaires japo hawajui hata andazi linapikwa vipi na linauzwaje mtaani!

Nioneshe huyo billionaire alieanza biashara mwaka jana tu baada ya kumaliza chuo na leo amefikia ubilionea!
Mkuu Extrovert stop being that negative, inawezekana kuanza biashara na kugrow ingawa nakubali scale of growth haifanani kati ya mtu na mtu.

Kwangu me naona mtu aliyesoma na kuelimika akafika kiwango cha college ana chances nzuri za kuprosper akijifunza mambo ya biashara na ujasiriamali.

Kwa technology ilivo sasa kwa msomi wa chuo anaweza kujifunza mengi sn through internet na akabadili elimu anayoipata kuwa mtaji akanza kujiajiri.

Najua vijana wengi watasema hawana mtaji, ni kweli lakini ukitumia elimu/maarifa yako uliyojifunza yanaweza kukupa mtaji wa kuanzia.

Nilichojifunza pia, kuna watu wengi wana mitaji ipo ndani/bank hasa wafanyabiashara wengi wa kizamani na hata waajiriwa pia lakini hawajui cha kufanyia. Hii ni moja ya fursa nzuri sana kama unaweza kuwa na taarifa za kutosha kuhusu source ya bidhaa, transportation, ukaziongezea thamani na kuziingiza sokoni. Ukitulia ukamtengenezea mtu business plan yenye kuhitaji mtaji kidogo nawe ukawa msimamizi wa hiyo biashara mkafanya kama partners unaweza toboa mkuu.

Mtaji mzuri kwa msomi na hard cash ni kuwa na informations zenye fursa ndani yake, yaani unaweza anza kama dalali tu wa kuwaunganisha wauzaji na wanunuzi ambao wako in barriers, baada ya muda mchache you 'll have something to cheer.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhalisia 100[emoji2398] tazama jamii zinazokuzunguka.

Mtoto wa mfanya biasha
ra hata akisomea udaktari eventually elimu yake ataielekeza kwenye biashara zaidi.

Huwezi mfundisha mtoto kwa maneno matupu. Mtoto huiga kiurahisi zaidi.

Huyo anaetoka veta akitokea ukoo wa wafanya biashara kuna uwezekano mkubwa akaja kuwaajiri wenzake aliokuwa nao veta wanaotokea ukoo wa waajiriwa.

Mleta mada poyoyo na bado hajayaona maisha kiuhalisia wake.

Sio poyoyo mleta mada yuko sahihi labda wewe hujamwelewa.

Kiukweli ajira hamna na Wasomi ni wengi. Ukweli utabaki

Wasomi waangalie namna ya kujiajiri...anapokuwa shule asiwaze ajira awaze kutafuta pesa....

Biashara wala haihitaji uzoefu toka kwa wazazi hayo ni mawazo tu mgando....you can make your own life....

Anyway

Mimi nitawaelimisha watoto wangu kuwa usomi sio ajira wajifunze namna ya kutafuta pesa nje ya ajira. Na nitawapeleka veta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kuwa mkoloni alikufanya mtumwa na umerithi elimu yake na unaona elimu bora kuliko zote ni hiyo ya "secular"?

Hata hivyo bado hatujachelewa tunaweza kubadilisha huu mfumo wa elimu kama mada ikiwekwa mezani bungeni.
 
Back
Top Bottom