Nikuulize wewe, kwani kaongea vitu vingapi? Na Mimi nimemuunga kipi kati ya hivyo? Usikurupuke!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Walimu wetu hao ...wanatuambukiza spirit ya kuajiriwa tuuImagine mwalimu anakutambieni, mie nna ajira yangu bana, mshahara unaingia sasa nyie leteni mchezo tu.
Huyu mama nilikuwa namuheshimu sana ila kwasasa ananifadhaisha mnoo!We mama acha kutukana watu hovyo
One love
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] we jamaa kweli umeona mbali ...Ajira n tamu pale ukipata sector nyeti ...ndo utafurahia ... Wanaotoa ushauri tujiajiri wao wanakula Ac 24/7 ...maisha mazuri ....Wanakwambia ukiajiriwa huwezi kuwa tajiri, ila mkurugenzi na vibaraka wake wanaongeza magari uwani ndani ya muda mchache na wanafungua mabiashara makubwa makubwa pembeni wanajineemesha tu. Au hujaskia ripoti ya CAG kuanzia maliasili mpaka TPA.
Ajira tamu jamani ingawa umenyaji unategemea na sector uliopo. Unaweza usilipwe mshahara mkubwa ila genji tu zikakava magepu.
Huwezi fananisha salary slip na headaches za kupambana na kodi ya TRA, mwenye nyumba na kulipa wafanyakazi ukichanganya na ugonjwa wa Corona utapata jibu kamili kwanini walioko kwenye ajira wanaishia kuwa washauri tu. Yani ukimbie pupwe la Samsung na kubofya bofya Computer ukahangaike na mikaa ya moto na kugeuza mahindi darajani au kuzunguka na chupa za uji mtaani?
Hahahah mkuu acha kuniinjoy basi, watu wanafunga 50M-100M kwa mwaka!Pesa ya maana inaanzia kiasi gani?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] utakunywa Sana superlater barBongo kupiga hela awamu hii ni lazima uwe una pesa ya maana kwenye mzunguko. Unaokota buku mpaka buku 5 huku na kule ndio hapo unajikuta umezivuta nyingi.
Ila kwa mtaji wa Laki 5 kwa faida za 50-100 utakunywa sana Spar-letta Bar. Unajikuta umemeki 12,000 siku nzima ukijimix unatafuna mtaji.
Nilikuwa sijaelewa...sijaangalia discussion ilianzia wapi.Hahahah mkuu acha kuniinjoy basi, watu wanafunga 50M-100M kwa mwaka!
Utafananisha na mtu anaesevu 3M-5M
Ukweli siku zote huwa kama ni tusi kwa asioupenda. Sikushangai.We mama acha kutukana watu hovyo
One love
Mshauri wa DJ mkuuu kivipi?Siyo kweli, mimi nimeajiriwa ila nahudum mgahawani na ni mshauri wa DJ kwenye klab flan!!
When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
Walimu wana mambo ya ajabu sana🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Walimu wetu hao ...wanatuambukiza spirit ya kuajiriwa tuu
One love
Mwalimu ajiongeze hata na tution tu.Unamshauri nini mwalimu wa degree maana hata iyo ajira akiipata Take-home unaweza kuta 600K.
Huyu mama anaonekana huko nyuma aliloose , Yuko depressed Sana umri umemtupa mkono so huku JF anaona ndo pakupumzikia watu , Yan hakuna mada atayochangia asitukane au kupingana na wazo la mwingine kwa madharauHuyu mama nilikuwa namuheshimu sana ila kwasasa ananifadhaisha mnoo!
When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
safuher,
Fikra zako si sahihi.
Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.
Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.
Tuition haijawai kuwa na pesa toka Dunia iumbwe.Mwalimu ajiongeze hata na tution tu.
Huyu mama nilikuwa namuheshimu sana ila kwasasa ananifadhaisha mnoo!
When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
Na mihemko yangu mimi wewe inakuwasha?Mbona kama una mihemko sana
Sent from my iPhone using JamiiForums