Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Mfunze Mwanao kujiajiri, mwambie maisha hayaanzi akiajiriwa, wasomi wakiwa wengi ajira zinakuwa chache

Imagine mwalimu anakutambieni, mie nna ajira yangu bana, mshahara unaingia sasa nyie leteni mchezo tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Walimu wetu hao ...wanatuambukiza spirit ya kuajiriwa tuu

One love
 
We mama acha kutukana watu hovyo

One love
Huyu mama nilikuwa namuheshimu sana ila kwasasa ananifadhaisha mnoo!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
 
Wanakwambia ukiajiriwa huwezi kuwa tajiri, ila mkurugenzi na vibaraka wake wanaongeza magari uwani ndani ya muda mchache na wanafungua mabiashara makubwa makubwa pembeni wanajineemesha tu. Au hujaskia ripoti ya CAG kuanzia maliasili mpaka TPA.

Ajira tamu jamani ingawa umenyaji unategemea na sector uliopo. Unaweza usilipwe mshahara mkubwa ila genji tu zikakava magepu.

Huwezi fananisha salary slip na headaches za kupambana na kodi ya TRA, mwenye nyumba na kulipa wafanyakazi ukichanganya na ugonjwa wa Corona utapata jibu kamili kwanini walioko kwenye ajira wanaishia kuwa washauri tu. Yani ukimbie pupwe la Samsung na kubofya bofya Computer ukahangaike na mikaa ya moto na kugeuza mahindi darajani au kuzunguka na chupa za uji mtaani?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] we jamaa kweli umeona mbali ...Ajira n tamu pale ukipata sector nyeti ...ndo utafurahia ... Wanaotoa ushauri tujiajiri wao wanakula Ac 24/7 ...maisha mazuri ....

One love
 
Bongo kupiga hela awamu hii ni lazima uwe una pesa ya maana kwenye mzunguko. Unaokota buku mpaka buku 5 huku na kule ndio hapo unajikuta umezivuta nyingi.

Ila kwa mtaji wa Laki 5 kwa faida za 50-100 utakunywa sana Spar-letta Bar. Unajikuta umemeki 12,000 siku nzima ukijimix unatafuna mtaji.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] utakunywa Sana superlater bar

One love
 
Siyo kweli, mimi nimeajiriwa ila nahudum mgahawani na ni mshauri wa DJ kwenye klab flan!!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
Mshauri wa DJ mkuuu kivipi?
 
Huyu mama nilikuwa namuheshimu sana ila kwasasa ananifadhaisha mnoo!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.
Huyu mama anaonekana huko nyuma aliloose , Yuko depressed Sana umri umemtupa mkono so huku JF anaona ndo pakupumzikia watu , Yan hakuna mada atayochangia asitukane au kupingana na wazo la mwingine kwa madharau

One love
 
mng'ato, Unavyoelezea unaonesha kama ulienda shule, kama kweli basi ni wazi shule uliyoenda ilikunyima kuelimika ikakujaza ujinga.
 
safuher,
Fikra zako si sahihi.

Mtoto hafundishwi kazi Kwa maneno matupu, mtoto hujifunza kwa kuiga. Huwezi kumwambia mtoto "ajira hakuna" wakati wewe mwenyewe umeajiriwa. Anza wewe kujiairi na mtoto ataiga tu, huna haja ya kumfundisha Kwa maneno (action speaks louder than words), asome asisome ataiga tu. Unatakiwa uwe "role model" wa watoto zako wawe vipi.

Halafu hiyo kauli unayosema ya "enstein" umeiandika ndivyo sivyo, hiyo kauli inasema "In the middle of every difficulty lies opportunity" na hata jina haliandikwi hivyo ulivyoandika wewe. Jina huanza na herufi kubwa. Ungeandika Enstein.

Mbona kama una mihemko sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu mama nilikuwa namuheshimu sana ila kwasasa ananifadhaisha mnoo!

When your toddler was learning to walk, you’d encourage her to get back up after she fell down,Parents should practice that approach as their children get older.

Kijana, Ati nakufadhaisha! Hunijuwi sikujuwi, huo nfadhaiko wako peleka huko huko kwa unaowajua. Heshima yako wewe mimi inanihusu nini?

Young man, Keep your respect to yourself, did I ever ask you for it? And how can your respect help me or any other rather than yourself? Pathetic.

And who's a toddler here?

Talking about "older children", we do not teach them by talking and barking we make sure our lifestyle is embedded to them by our actions and behaviour. Psychologically children tend to learn by copying their parents rather than mere words.
 
Back
Top Bottom