Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
-
- #21
Wanasemaga wazee ni hazinaKaazi kwelikweli....... Kwa mawazo haya mtaendelea kuchezewaaaaaa weeeeeeeeeee nahamna lamaana mtakalopata.
Ivi nani anawambia mwanamme akiwa mzee/kakuzidi miaka/aliwah kua ndoan Basi amestaharabika yakwamba anabusara na hekima??? ...kumbe ndomaana watu wanaishia kuliwa ovyo nakubaki kulia lia ??
Uanamme wa mwanamme UPO KICHWANI MWAKE, na aina ya maisha anayokupa ..FULL STOP.
Sio kibuti ni libutiUnajua tungeelewa vizuri jana ungesema hicho kibuti ulipigwa pigwaje, kuliko kuweka funzo tu, slow learner kama Mimi sielewi aloo
Ogopa sana mwanaume divorced
Hawana huruma
Sio kila Mzee ana busara!
Haahaha aiseee kazi sanaaa, mtu kadiri anavyozeeka ndo nayeye akili yake inazidi kupagawa nauhazina wake unashuka.Wanasemaga wazee ni hazina
Mis natafuta naona katika tafutatafuta yako imekumbana na divorced man, pole mbona vijana wapo wengi tuuuUshaanza
upo mdada adimu sana siku hiziHaya mambo haya kote kote ni magumu awe mwanaume awe mwanamke tunachotofautiana ni mdomo tu
Kulea si mchezo ndugu yangu,unalea wenye moyo safi na mapenzi (watoto) na unalea mwenye moyo hatarishi tetemeshi teh teh tehupo mdada adimu sana siku hizi
Inshaallah pole kwa kwa majukumu ya ulezi ndugu na wakawe ni wenye mioyo safi AaminKulea si mchezo ndugu yangu,unalea wenye moyo safi na mapenzi (watoto) na unalea mwenye moyo hatarishi tetemeshi teh teh teh
Duaa yako ikapate kutimia katika Damu za vizazi vyetuInshaallah pole kwa kwa majukumu ya ulezi ndugu na wakawe ni wenye mioyo safi Aamin
Aamin[emoji120][emoji120]Duaa yako ikapate kutimia katika Damu za vizazi vyetu
Unanichamba sana bwana ahahaaHaahaha aiseee kazi sanaaa, mtu kadiri anavyozeeka ndo nayeye akili yake inazidi kupagawa nauhazina wake unashuka.
Hata ivo ni wazee wachache sana ambao huendelea kua Hazina.
Alafu , wee mtu kaachana mke na watoto wake alowazaa kwa kiuno chake,, ndo aje akupende ww km malaika???? Inawezekana???
Omba upate mwanamme mwenye hekima busara na upendo....sio kuomba upate mwanamme mzee/alowah kuoa .... Hizo ni nafasi lkn hazitokaa zimbadilishe tabia .
Hata ivo ,, ukiruhusu "Upweke na hamu ya" ndo vikuamlie maisha ,sitoshangaa sana ngojera zilizojaa huzuni zikitoka kinywan mwako..
.alafu nikajua mwanamke akikua kiumri, humsaidia kujua nn anachotaka!!!.
Kumbe wapo wengine, wamekua lkn hawajui wanachokitaka??? Khaak.
Hili limekukuta weee Miss???au kabint fulan ka under 25??
Ahahaaa usinichekeshe bnaMis natafuta naona katika tafutatafuta yako imekumbana na divorced man, pole mbona vijana wapo wengi tuuu
Ni kweli kabisa dada yangu mzuri.Bora sie fresh from not married.Ogopa sana mwanaume divorced
Hawana huruma
Sio kila Mzee ana busara!
Nilimpenda kiukweli lakiniNi kweli kabisa dada yangu mzuri.Bora sie fresh from not married.
Unasema kweli?Hayo mambo yako pande zote mbili!
Halafu unaweza acha au kuachwa ila baadae ukajikuta unaishi vzr na uliyempata tuache kukariri jamani