Haahaha aiseee kazi sanaaa, mtu kadiri anavyozeeka ndo nayeye akili yake inazidi kupagawa nauhazina wake unashuka.
Hata ivo ni wazee wachache sana ambao huendelea kua Hazina.
Alafu , wee mtu kaachana mke na watoto wake alowazaa kwa kiuno chake,, ndo aje akupende ww km malaika???? Inawezekana???
Omba upate mwanamme mwenye hekima busara na upendo....sio kuomba upate mwanamme mzee/alowah kuoa .... Hizo ni nafasi lkn hazitokaa zimbadilishe tabia .
Hata ivo ,, ukiruhusu "Upweke na hamu ya" ndo vikuamlie maisha ,sitoshangaa sana ngojera zilizojaa huzuni zikitoka kinywan mwako..
.alafu nikajua mwanamke akikua kiumri, humsaidia kujua nn anachotaka!!!.
Kumbe wapo wengine, wamekua lkn hawajui wanachokitaka??? Khaak.
Hili limekukuta weee Miss???au kabint fulan ka under 25??