Mfupa uliomshinda fisi

Mfupa uliomshinda fisi

Kaazi kwelikweli....... Kwa mawazo haya mtaendelea kuchezewaaaaaa weeeeeeeeeee nahamna lamaana mtakalopata.

Ivi nani anawambia mwanamme akiwa mzee/kakuzidi miaka/aliwah kua ndoan Basi amestaharabika yakwamba anabusara na hekima??? ...kumbe ndomaana watu wanaishia kuliwa ovyo nakubaki kulia lia ??

Uanamme wa mwanamme UPO KICHWANI MWAKE, na aina ya maisha anayokupa ..FULL STOP.
Wanasemaga wazee ni hazina
 
Ili mambo yawe muswano ni lazima wakutane wote walioachika.... maana wameshakuwa makruuu kila mtu ameshaonja matamu ya kuachwa
 
Wanasemaga wazee ni hazina
Haahaha aiseee kazi sanaaa, mtu kadiri anavyozeeka ndo nayeye akili yake inazidi kupagawa nauhazina wake unashuka.

Hata ivo ni wazee wachache sana ambao huendelea kua Hazina.

Alafu , wee mtu kaachana mke na watoto wake alowazaa kwa kiuno chake,, ndo aje akupende ww km malaika???? Inawezekana???

Omba upate mwanamme mwenye hekima busara na upendo....sio kuomba upate mwanamme mzee/alowah kuoa .... Hizo ni nafasi lkn hazitokaa zimbadilishe tabia .

Hata ivo ,, ukiruhusu "Upweke na hamu ya" ndo vikuamlie maisha ,sitoshangaa sana ngojera zilizojaa huzuni zikitoka kinywan mwako..

.alafu nikajua mwanamke akikua kiumri, humsaidia kujua nn anachotaka!!!.
Kumbe wapo wengine, wamekua lkn hawajui wanachokitaka??? Khaak.

Hili limekukuta weee Miss???au kabint fulan ka under 25??
 
Sasa ukutane nae kashakaa muda mrefu hadi nta ile imeanza kuganda kule - wooooiiiiiii unaweza hisi umenasia
 
Hayo mambo yako pande zote mbili!

Halafu unaweza acha au kuachwa ila baadae ukajikuta unaishi vzr na uliyempata tuache kukariri jamani
 
Haahaha aiseee kazi sanaaa, mtu kadiri anavyozeeka ndo nayeye akili yake inazidi kupagawa nauhazina wake unashuka.

Hata ivo ni wazee wachache sana ambao huendelea kua Hazina.

Alafu , wee mtu kaachana mke na watoto wake alowazaa kwa kiuno chake,, ndo aje akupende ww km malaika???? Inawezekana???

Omba upate mwanamme mwenye hekima busara na upendo....sio kuomba upate mwanamme mzee/alowah kuoa .... Hizo ni nafasi lkn hazitokaa zimbadilishe tabia .

Hata ivo ,, ukiruhusu "Upweke na hamu ya" ndo vikuamlie maisha ,sitoshangaa sana ngojera zilizojaa huzuni zikitoka kinywan mwako..

.alafu nikajua mwanamke akikua kiumri, humsaidia kujua nn anachotaka!!!.
Kumbe wapo wengine, wamekua lkn hawajui wanachokitaka??? Khaak.

Hili limekukuta weee Miss???au kabint fulan ka under 25??
Unanichamba sana bwana ahahaa
 
Back
Top Bottom