Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

Mgahawa wa ajabu, nani yupo free nimpeleke

Mbunye ni nyama, humo wanakula mboga mboga tu...

Usijeuliza kama wanauza na 'kisamvu'
Sasa mkuu kwa sisi wabantu nikiona paja na tako lazima mnara usimame si itakuwa balaa huko😃😃
 
Vipo vya kujiamini mwamba sio mtumbo kama pishori la mahindi.

Na hiyo nadharia hapo imeongelewa endapo mgahawa ungekuwa bongo.

Kuna walimwengu wana rangi 100 kidogo. Uso mweupe tumbo kama Bernard Morrison unatarajia atajiamini huyo??
Nakazia. Madela yanaficha vingi. Unachukuwa ''pisi kali'' kama wanavyosema wa mjini, umbo 100%, sura 100%, ukifika chumbani akivua unakuta tumbo limedondoka kama kama lina akiba ya maji, manyama uzembe ndiyo usiseme, mapaja yana alama na mifundofundo!
 
Nakazia. Madela yanaficha vingi. Unachukuwa ''pisi kali'' kama wanavyosema wa mjini, umbo 100%, sura 100%, ukifika chumbani akivua unakuta tumbo limedondoka kama kama lina akiba ya maji, manyama uzembe ndiyo usiseme, mapaja yana alama na mifundofundo!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
bora ya kibamia unaweza kusingizia baridi.

Kuna Pisi kali zina matumbo kama tairi za tractor. Akilichia linafika magotini.

Kuna kina dada asubuhi anachomekea tumbo hata masaa mawili, sasa hilo likiachiwa si litaburuza sakafuni akikaa chini.

Wanawake tuwaone hivi hivi wakiwa na mavazi yao. Humo ndani kuna mambo ya kutisha. Unakuta ziwa limepigwa suspender, ukiangalia kwa nje unaona chuchu saa sita, tumbo linabanwa na mamikanda linakuwa flat, hapo tako linapigwa boost anaonekana ana kibinda nkoi.

Sasa vuta picha kavitoa vyote hivyo vya hapo juu ndio mnakula. Unaweza poteza hamu ya kula hapo hapo na hayo mazonge utakayokutana nayo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]syanaloli isi
 
.f mmx MN.f l f. NM
View attachment 2602837
Je unaweza kushiriki chakula cha jioni ukiwa mtupu bila nguo na watu 40 usiowafahamu?

Huko nchini Marekani upo mgahawa unaowapokea wateja wanaopenda kupata mlo wakiwa watupu.

"The Füde Breathwork Experience" mjini New York City ni hafla ya chakula cha jioni ambapo washiriki hula chakula huku wakiwa hawajavaa nguo.

Gharama ya kiingilio ni kuanzia dola 44 hadi dola 88, ambazo zitakuwezesha kushiriki pia mazoezi ya kupumua na hatimaye kula mlo usiokuwa na nyama yaani chakula kitokanacho na mimea.

Wateja kwenye mgahawa huo, mara nyingi huwa ni watu ambao hawafahamiani, lakini hukaa pamoja na kula chakula.

Lengo la hafla ya Füde ni kuwasaidia watu kuunganisha 'nafsi zao na uhalisia wao halisi'.


Chanzo: BBC SWAHILI
Mm.
 
Wadada wa kibongo wataingia humo kweli?! Huku mtaani wanavaa sidiria za kuboost chuchu zao na kuwa saa sita ilhali sio kweli.
 
Tumeanza kuogopa kukaa uchi lini na wakati kabla hao wazungu hawajaja tulikuwa tunaishi uchi wa mnyama masaa yote?
Zamani pia tulikua tunasafiri kwa kutumia Punda,je upo tayari kuendelea kusafiri kwa Punda kisa tu zamani ulikua unasafiri kwa Punda?

Zamani hatukua tunatumia hizi Smart phone,je upo tayari kuacha kutumia hizi simu? Unaweza kwenda mjini bila nguo kisa tu zamani ulikua huvai nguo?
 
Kwahiyo ukiona mzigo ukakuvutia dushee linanyanyuka kila mtu anaona.? Huo unawafaa hao hao ngozi nyeupe.
Kwa mbantu dude linyanyanyuka ila nzungu naona kama matoy ya kutundikia nguo dukani.
Kidogo pisi ya kiindi na Malaysia labda
 
Back
Top Bottom