Sema biashara ya chakula ina hitaji moyo mgumu sana na uvumilivu 🤔Biashara ya chakula ndivyo ilivyo! Ukifungua mwanzoni kabisa wanakuja wateja kama wote! Huwa wanakuja kujaribu kama chakula ni kizuri, sasa kumbuka wanawahama wauzaji wengine kule wanakosa wateja! Inakuwa kama vile wewe umekuja kuwaondoa hao wateja!
Nakumbuka pia miaka ya nyuma huko nilifungua kisehemu, nilifunga sijui mwezi tu🙌🏾
Kabisa mkuu, kuna kufeli kwingi sana kwenye biasharaBiashara inahitaji moyo sana, muwaheshimu waliotoboa huko
Jifunze kupika wacheni visingizio ...hata ukipika ugali na mboga ya nguru tu vizuri peke yake utauza hadi utakimbia wateja ...mnapenda kupika vitu vingi bila ya ubora, unakuta ugali na mboga 5 zisinzo na ubora na Nyanya masaro, dagaa wananuka shombo kali na wamechemshwa zaidi ...vyakula vya mitaani vina kasoro nyingi zitokanazo na kutokujua kupika siyo upungufu wa pesa ..mfano dagaa wanao pikwa mitaani wananuka shombo sana ...ukila kwa wingi unasikia kichefu chefu...wapishi hawajui hata kuosha , kuchambua na kupika dagaa ...hawajui kupika Nyanya wala kitunguu... wengine wanaweka kaloti kwenye dagaa bila ya kujua kuwa kaloti zipo aina mbili za mapishi ...yaani kaloti tamu na kaloti chungu ..kaloti za kupikia ddagaa ni lazima ziwe zile zisizo tamu yaani chungu...hata kaloti ya kachumbali inatakiwa ziwe zile zisizo tamu...ila watu wanachukua tu kaloti yoyote na masokoni kaloti azija tengwa kwa makundi ya tamu na zisizo tamu... unakuta mpishi anashindwa hata kutia pilipili mbuzi na pilipili hoo kwenye maharage kufanya harufu nzuri na radha.Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.
Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo
Ila siku zilivyoenda kama wiki ya pili mambo yakabadilika Yani kuanzia asubuhi mpaka jioni wanakuja watu 4 Hali ambayo sio ya kawaida hata kidogo mpaka nikafunga.
Nikaona ule ni Uchawi Live na wengine wakaniambia wanataka uhame uwaachie Site😣 ,
Wengine wananiambia niendelee kumwaga mazaga zaga ya kuvutia zaidi dah😓
Jamani kwa wazoefu sehemu zinazokuwa na mambo ya kishirikina kama hizi wenzetu mnafanyeje nisaidieni nirudi kwa ofisi yangu.
Ile ndo mi nilikuwa naitegemea Sina maisha bila pale na niliwekeza nguvu zangu zote nikiamini natoboa.
Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu🙏🙏
nakazia hapoNa huko unapoelekea kwenye imani za kishirikina,ndio unaenda kupotea mazima.
Pia asiasahau kua Biashara ni matangazo,na pia kwakua ndo umeanza biashara usipike chakula kingi sanaaa anza kidogo kidogo utakua unaongeza kadri wateja wanavyokuja,,,, customer care iwe nzuri, hakikisha chakula ni kizuri na kitamu,, usafi uwe wa kutosha kuanzia wahudumu mpka kwenye vyombo vinavyo tumika,, bei ya chakula na kipimo vina matter kwa wateja, n.k
kabisaa kama anajiweza anaweza kuprint vipeperushi akasambaza kwenye maduka ya hapo jirani kwake aweke na namba ya simu,,, mteja mmoja akiridhika na chakula lazima ataleta wenginePia asiasahau kua Biashara ni matangazo,
Dunia ilisha badilika.
Kabisa pia asikae tu kusubiria wateja , atafute vikontena , asake wateja kwenye maofisi mbalimbali, akipata kumi wa kudumu atajua mwelekeo wa biashara yake , pia chakula kizuri kitambeba🤔kabisaa kama anajiweza anaweza kuprint vipeperushi akasambaza kwenye maduka ya hapo jirani kwake aweke na namba ya simu,,, mteja mmoja akiridhika na chakula lazima ataleta wengine
asisahau kuweka wahudumu vijana wenye tabasamu mda wote ila tu wasivae uchi sana😆😆😆😆Kabisa pia asikae tu kusubiria wateja , atafute vikontena , asake wateja kwenye maofisi mbalimbali, akipata kumi wa kudumu ajatujua mwelekeo wa biashara yake , pia chakula kizuri kitambeba🤔
Bwashee unajua sio kila mtu anaweza kua mfanya biashara,Kabisa pia asikae tu kusubiria wateja , atafute vikontena , asake wateja kwenye maofisi mbalimbali, akipata kumi wa kudumu atajua mwelekeo wa biashara yake , pia chakula kizuri kitambeba🤔