Mgahawa wangu mambo yalikuwa mazuri, ghafla imedoda, nifanye nini biashara irejee kwenye mstari?

Biashara inahitaji uvumilivu, kaa angalau miezi sita ndio ufikirie kufunga biashara.
Kuhusu wafanyakazi wengi wanaokotaokota tafuta angalau mfanyakazi mmoja aliyesomea mambo ya hotel atakusaidia kuanzia ubora wa chakula, lugha ya kuzungumza na wateja na mengineyo.
 
Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu
Komaa tena awamu hii uza hata kwa mkopo usiwabanie wateja biashara ni strategy tu kuna mwenzio kakomaa na wanafunzi tu wakifunga na yeye anafunga wakifungua na yeye kafungua chagua wateja wako wa wapi na ni kina nani yaan lazima uwe na focus pia angalia wateja wako ni kina nani ili uwaboreshee na kuwarahisishia huduma yako vilivyo
 
Fanya hivi
Print menu ziweke mezani,,menu changanya changanya yaani ni ugali ila inakuja na mboga tofauti
1.ugali tembere nyama bamia
2.ugali dagaa,maharage,mchina
3Ugali,nyama ,kachumbari

Nadhani umenielewa yaani mfanye mtu kesho waseme nitakuja ugali lakini kwa menu nyingine...print menu ziweke mezani

Nunua sahani za mvuto kama zile za mahotelini,,,sahani zenye portion...

Weka mziki wa taratibu weka speaker kwa juu sauti classic ndogo..niendeleze kukupa maubunifu???
 
Jamani asanteni naendelea kuchukua nondo mi niwatoe wasiwasi kuhusu Huduma zangu zote na usafi nilizingatia sana na mapishi pia sikuanza kwenye mfungo n before pia nipo site nzuri kupita wote ila huu mtaa kiuhalisia mambo ya kishirikina na kuonekana wivu wa naendeleoni mambo Yao unauza mkaa ila unapigwa vita na muuza maziwa maana hata nilipojenga nilikuwa napokea maneno kuwa umejipanga utaweza?

Ko mi kikubwa mnipe TU mbinu Gani nitumie kuwazuia Hawa binadamu wanaotupa vitu vyao hapa kwa ofisi nijikinge vipi Huduma Niko vzuri sana na Kuna siku nakuta maunga Unga mlangoni wamemwaga asubuhi yaani daaah m mnipe mbinu za kujikinga TU hayo mengine yote najitahidi sana

Lakini Cha ajabu ni kuwa wateja wamepoteza gafla yaani nikashitukia hawapo hawaji wanapakwepa
 
S

Shida ukiweka akili kwenye kulogwa basi uwezi piga hatua iv unajua zile kama ilizi zinazofungwa watoto wakiwa wadogo mle ndani wanaweka majani ya bangi nakugunga na kitaa cheusi ndo wanaita ilizi kwajili ya kuwakinga watoto sasa ww mtu kamwaga unga wa sembe hapo bas unaweweseka ila kama ni side hustle iyo kuuza chakula sawa
 
Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.

Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo

Ila siku zilivyoenda kama wiki ya pili mambo yakabadilika Yani kuanzia asubuhi mpaka jioni wanakuja watu 4 Hali ambayo sio ya kawaida hata kidogo mpaka nikafunga.

Nikaona ule ni Uchawi Live na wengine wakaniambia wanataka uhame uwaachie Site😣 ,

Wengine wananiambia niendelee kumwaga mazaga zaga ya kuvutia zaidi dah😓

Jamani kwa wazoefu sehemu zinazokuwa na mambo ya kishirikina kama hizi wenzetu mnafanyeje nisaidieni nirudi kwa ofisi yangu.

Ile ndo mi nilikuwa naitegemea Sina maisha bila pale na niliwekeza nguvu zangu zote nikiamini natoboa.

Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu🙏🙏

Hakuna uchawi hapo

Biashara inaendeshwa kwa huduma Bora na consistency na ubunifu.
Consistency ndio Kila kitu hasa wakati biashara ikifanya vibaya
 
Pole sana
Sina uzoefu na biashara ya chakula lakini nikuulize jambo
Je hukufungua kipindi hichi cha mfungo?
Je hapo ulipo hamna migahawa mingine?
Je una wapishi wazuri??
Bei zako vipi?

Ndugu yangu kama ulifungua kipindi cha ramadhani unaweza kukutana na changamoto sana
Lakin umesema siku za mwanzo wateja walijaa
So inawezekana ni wamekuja kutest ladha ya msosi kisha wakaukuta mbaya au bei zako zipo juu
Hivi unajua kuna watu wanawasha gari wanaenda kufata msosi mbali sana
Mimi ki ukweli nikija kwako kwa mara ya kwanza msosi ukawa mbaya hata kama unauza rahisi vip sirudi tena

Sehemu za vyakula mpishi anatakiwa kuzingatiwa sana wakati unafungua biashara ya msosi

Alafu pia LOCATION yako ipoje??
Mazingira yanaruhusu watu kuwa wengi kila siku??

Hilo la migahawa kuwa mingi inachangia sawa wateja kuwa na option za kutosha

Pia varieties za vyakula

Cha mwisho kabisa ambacho naweza nikakushauri japo post yako haijaeleza mambo mengi ili upate kushauriwa
Wakati unaenda kufata mahitaji yako sokoni omba MUNGU na ombea vile vitu
Kisha ombea hapo kazini ...ombea na vitendea kazi
Waweke na hao wafanyakazi mikononi kwa Mungu
Alafu pia asubuh sana wakati mnafungua hapo mwaga chumvi ya mawe nje na ndani
Na pia weka station ya mahubiri..yale maombi ya usiku kuamkia asubuh
Mpaka mkishafungua kila kitu kipo tayari ndo unazima redio/youtube
La mwisho consider delivery
Anza kupost msosi unaoutengeneza na ku offer delivery service
USIFUNGE BIASHARA
PIKA HATA KILO MOJA YA NCHELE ,kilo ya unga na mboga zingine kidogo kidogo
Ongeza na udambwi udambwi wa juyce,mtindi

Weka kila kitu kidogo kidogo
Option ya kufunga iwe ya mwisho
ALL THE BEST DEAR
Kwa ushauri huu, inakuwaje hapo juu umesema huna uzoefu na biashara hii? Au ndio wale walimu wa biashara vyuoni?
 
Aikoooooo
Umeanza Week mbili tu Umeona Faida ukachekelea 🤣🤣ilibidi Ushangae kwanza umempa nini Mungu akufanyie hivo, ukianza biashara kama hiyo unafikira ku break even hata kwa mwezi kwanza(From own insights) .

Lakini pia Hii biashara Ina mengi sana tofauti na mambo ya kiroho, muhimu kuzingatia eneo lako ni wateja wa Quality au Quantity respect kwa Mshana Jr alishawahi kulielezea vizuri nilidaka likanisaidia sana.
Nasema hivi biashara Ina roho pia.
 
Jamani asanteni naendelea kuchukua nondo mi niwatoe wasiwasi kuhusu Huduma zangu zote na usafi nilizingatia sana na mapishi pia sikuanza kwenye mfungo n before pia nipo site nzuri kupita wote ila huu mtaa kiuhalisia mambo ya kishirikina na kuonekana wivu wa naendeleoni mambo Yao unauza mkaa ila unapigwa vita na muuza maziwa maana hata nilipojenga nilikuwa napokea maneno kuwa umejipanga utaweza?

Ko mi kikubwa mnipe TU mbinu Gani nitumie kuwazuia Hawa binadamu wanaotupa vitu vyao hapa kwa ofisi nijikinge vipi Huduma Niko vzuri sana na Kuna siku nakuta maunga Unga mlangoni wamemwaga asubuhi yaani daaah m mnipe mbinu za kujikinga TU hayo mengine yote najitahidi sana

Lakini Cha ajabu ni kuwa wateja wamepoteza gafla yaani nikashitukia hawapo hawaji wanapakwepa
Muweke Mungu mbele.
 
Biashara yoyote fanya kwa moyo wako wote pia mtaji akikisha ni wako mwenyewe mtaji usiwe na kipengele cha marejesho alafu anza kufanya ujasus wa kibiashara yaan utafit,kujihami,kuzibit na kujilinda ila usiwaige wafanyabiashara wenzako maana kuna wengine hawanufaik na wanachofanya na hawafungi biashara
 
Naona wengi wanakupa ushauri wa ki-chatGPT wakati hawajawahi kufanya biashara ya mgahawa. Wengine wanasema eti umefungua wakati wa mfungo hivyo hakuna biashara... hakuna wanalojua. Kwenye mfungo huwa kuna hela tamu sana kwa kuuza futari na daku.

Binafsi nimefanya biashara ya mgahawa jijini Dar tena pembeni ya barabara maarufu sio ndanindani. Hiyo hali iliyokutokea hata mimi ilinitokea. Mimi nilikaza nikafunga baada ya mwaka na nusu.

Siri kuu ya hiyo biashara ni kwa wewe mwenyewe mhusika kuwepo hapo tangu alfajiri hadi kufunga. Yaani unasimamia kinoko kila kitu. Mimi nilikuwa na biashara zingine hivyo nikawa sikai sana ndo ikawa changamoto. Kusimamia inamaanisha unahakikisha kuanzia usafi, ladha ya chakula na huduma kwa wateja ni ya hali ya juu. Usivumilie upuuzi wa mpishi au mtu mwingine yeyote.

Kuhusu uchawi fanya tu kama unaamini. Mimi sikufanya uchawi ila kwenye hiyo biashara kumejaa uchawi. Tafuta mganga konki.
 
Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.

Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo

Ila siku zilivyoenda kama wiki ya pili mambo yakabadilika Yani kuanzia asubuhi mpaka jioni wanakuja watu 4 Hali ambayo sio ya kawaida hata kidogo mpaka nikafunga.

Nikaona ule ni Uchawi Live na wengine wakaniambia wanataka uhame uwaachie Site😣 ,

Wengine wananiambia niendelee kumwaga mazaga zaga ya kuvutia zaidi dah😓

Jamani kwa wazoefu sehemu zinazokuwa na mambo ya kishirikina kama hizi wenzetu mnafanyeje nisaidieni nirudi kwa ofisi yangu.

Ile ndo mi nilikuwa naitegemea Sina maisha bila pale na niliwekeza nguvu zangu zote nikiamini natoboa.

Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu🙏🙏
Ili biashara isimame inabidi uvumilie zaidi ya miaka mitatu angalau.

Umekata tamaa mapema sana.
 
Daaah bznes ina WIKI mbili TU umefunga. Hii kali ndio nackia leo. Kwa maana fupi ulitaka uwe tajiri ndani y wiki 3 tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kuwa mvumilivu, pika chakula kwa usafi,kiwe kitamu pia na bei zako ziwe zinaendana na huduma
 
Jamani asanteni naendelea kuchukua nondo mi niwatoe wasiwasi kuhusu Huduma zangu zote na usafi nilizingatia sana na mapishi pia sikuanza kwenye mfungo n before pia nipo site nzuri kupita wote ila huu mtaa kiuhalisia mambo ya kishirikina na kuonekana wivu wa naendeleoni mambo Yao unauza mkaa ila unapigwa vita na muuza maziwa maana hata nilipojenga nilikuwa napokea maneno kuwa umejipanga utaweza?

Ko mi kikubwa mnipe TU mbinu Gani nitumie kuwazuia Hawa binadamu wanaotupa vitu vyao hapa kwa ofisi nijikinge vipi Huduma Niko vzuri sana na Kuna siku nakuta maunga Unga mlangoni wamemwaga asubuhi yaani daaah m mnipe mbinu za kujikinga TU hayo mengine yote najitahidi sana

Lakini Cha ajabu ni kuwa wateja wamepoteza gafla yaani nikashitukia hawapo hawaji wanapakwepa
Mbinu ni kumkabidhi Yesu biashara yako nae atailinda
 
Back
Top Bottom