Anafikiria mafanikio ni ya wiki moja😅Bwashee unajua sio kila mtu anaweza kua mfanya biashara,
Mleta mada bora ajikite tu kwenye kilimo cha Vitunguu,
Biashara ina wiki mbili tu anataka kukimbilia kwa waganga!
Komaa tena awamu hii uza hata kwa mkopo usiwabanie wateja biashara ni strategy tu kuna mwenzio kakomaa na wanafunzi tu wakifunga na yeye anafunga wakifungua na yeye kafungua chagua wateja wako wa wapi na ni kina nani yaan lazima uwe na focus pia angalia wateja wako ni kina nani ili uwaboreshee na kuwarahisishia huduma yako vilivyoPlease msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu
Shida ukiweka akili kwenye kulogwa basi uwezi piga hatua iv unajua zile kama ilizi zinazofungwa watoto wakiwa wadogo mle ndani wanaweka majani ya bangi nakugunga na kitaa cheusi ndo wanaita ilizi kwajili ya kuwakinga watoto sasa ww mtu kamwaga unga wa sembe hapo bas unaweweseka ila kama ni side hustle iyo kuuza chakula sawaJamani asanteni naendelea kuchukua nondo mi niwatoe wasiwasi kuhusu Huduma zangu zote na usafi nilizingatia sana na mapishi pia sikuanza kwenye mfungo n before pia nipo site nzuri kupita wote ila huu mtaa kiuhalisia mambo ya kishirikina na kuonekana wivu wa naendeleoni mambo Yao unauza mkaa ila unapigwa vita na muuza maziwa maana hata nilipojenga nilikuwa napokea maneno kuwa umejipanga utaweza?
Ko mi kikubwa mnipe TU mbinu Gani nitumie kuwazuia Hawa binadamu wanaotupa vitu vyao hapa kwa ofisi nijikinge vipi Huduma Niko vzuri sana na Kuna siku nakuta maunga Unga mlangoni wamemwaga asubuhi yaani daaah m mnipe mbinu za kujikinga TU hayo mengine yote najitahidi sana
Lakini Cha ajabu ni kuwa wateja wamepoteza gafla yaani nikashitukia hawapo hawaji wanapakwepa
Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.
Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo
Ila siku zilivyoenda kama wiki ya pili mambo yakabadilika Yani kuanzia asubuhi mpaka jioni wanakuja watu 4 Hali ambayo sio ya kawaida hata kidogo mpaka nikafunga.
Nikaona ule ni Uchawi Live na wengine wakaniambia wanataka uhame uwaachie Site😣 ,
Wengine wananiambia niendelee kumwaga mazaga zaga ya kuvutia zaidi dah😓
Jamani kwa wazoefu sehemu zinazokuwa na mambo ya kishirikina kama hizi wenzetu mnafanyeje nisaidieni nirudi kwa ofisi yangu.
Ile ndo mi nilikuwa naitegemea Sina maisha bila pale na niliwekeza nguvu zangu zote nikiamini natoboa.
Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu🙏🙏
Kwa ushauri huu, inakuwaje hapo juu umesema huna uzoefu na biashara hii? Au ndio wale walimu wa biashara vyuoni?Pole sana
Sina uzoefu na biashara ya chakula lakini nikuulize jambo
Je hukufungua kipindi hichi cha mfungo?
Je hapo ulipo hamna migahawa mingine?
Je una wapishi wazuri??
Bei zako vipi?
Ndugu yangu kama ulifungua kipindi cha ramadhani unaweza kukutana na changamoto sana
Lakin umesema siku za mwanzo wateja walijaa
So inawezekana ni wamekuja kutest ladha ya msosi kisha wakaukuta mbaya au bei zako zipo juu
Hivi unajua kuna watu wanawasha gari wanaenda kufata msosi mbali sana
Mimi ki ukweli nikija kwako kwa mara ya kwanza msosi ukawa mbaya hata kama unauza rahisi vip sirudi tena
Sehemu za vyakula mpishi anatakiwa kuzingatiwa sana wakati unafungua biashara ya msosi
Alafu pia LOCATION yako ipoje??
Mazingira yanaruhusu watu kuwa wengi kila siku??
Hilo la migahawa kuwa mingi inachangia sawa wateja kuwa na option za kutosha
Pia varieties za vyakula
Cha mwisho kabisa ambacho naweza nikakushauri japo post yako haijaeleza mambo mengi ili upate kushauriwa
Wakati unaenda kufata mahitaji yako sokoni omba MUNGU na ombea vile vitu
Kisha ombea hapo kazini ...ombea na vitendea kazi
Waweke na hao wafanyakazi mikononi kwa Mungu
Alafu pia asubuh sana wakati mnafungua hapo mwaga chumvi ya mawe nje na ndani
Na pia weka station ya mahubiri..yale maombi ya usiku kuamkia asubuh
Mpaka mkishafungua kila kitu kipo tayari ndo unazima redio/youtube
La mwisho consider delivery
Anza kupost msosi unaoutengeneza na ku offer delivery service
USIFUNGE BIASHARA
PIKA HATA KILO MOJA YA NCHELE ,kilo ya unga na mboga zingine kidogo kidogo
Ongeza na udambwi udambwi wa juyce,mtindi
Weka kila kitu kidogo kidogo
Option ya kufunga iwe ya mwisho
ALL THE BEST DEAR
Nimepitia vingi nduguKwa ushauri huu, inakuwaje hapo juu umesema huns uziefu na biadhara hii? Au ndio wale walimuvwa biadhara vyuoni?
Muweke Mungu mbele.Jamani asanteni naendelea kuchukua nondo mi niwatoe wasiwasi kuhusu Huduma zangu zote na usafi nilizingatia sana na mapishi pia sikuanza kwenye mfungo n before pia nipo site nzuri kupita wote ila huu mtaa kiuhalisia mambo ya kishirikina na kuonekana wivu wa naendeleoni mambo Yao unauza mkaa ila unapigwa vita na muuza maziwa maana hata nilipojenga nilikuwa napokea maneno kuwa umejipanga utaweza?
Ko mi kikubwa mnipe TU mbinu Gani nitumie kuwazuia Hawa binadamu wanaotupa vitu vyao hapa kwa ofisi nijikinge vipi Huduma Niko vzuri sana na Kuna siku nakuta maunga Unga mlangoni wamemwaga asubuhi yaani daaah m mnipe mbinu za kujikinga TU hayo mengine yote najitahidi sana
Lakini Cha ajabu ni kuwa wateja wamepoteza gafla yaani nikashitukia hawapo hawaji wanapakwepa
Ili biashara isimame inabidi uvumilie zaidi ya miaka mitatu angalau.Jamani Wana Jamii forum nilitengemeza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu,chapati,ugali, na wali.
Nikawa nauza vizuri TU siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilibaki yaan saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivo hivo
Ila siku zilivyoenda kama wiki ya pili mambo yakabadilika Yani kuanzia asubuhi mpaka jioni wanakuja watu 4 Hali ambayo sio ya kawaida hata kidogo mpaka nikafunga.
Nikaona ule ni Uchawi Live na wengine wakaniambia wanataka uhame uwaachie Site😣 ,
Wengine wananiambia niendelee kumwaga mazaga zaga ya kuvutia zaidi dah😓
Jamani kwa wazoefu sehemu zinazokuwa na mambo ya kishirikina kama hizi wenzetu mnafanyeje nisaidieni nirudi kwa ofisi yangu.
Ile ndo mi nilikuwa naitegemea Sina maisha bila pale na niliwekeza nguvu zangu zote nikiamini natoboa.
Please msaada kwa mliowahi kumbana na watu wanaologa biashara zenu zife au kutaka kuwahamisha mni save niokoe ugali wangu🙏🙏
Mbinu ni kumkabidhi Yesu biashara yako nae atailindaJamani asanteni naendelea kuchukua nondo mi niwatoe wasiwasi kuhusu Huduma zangu zote na usafi nilizingatia sana na mapishi pia sikuanza kwenye mfungo n before pia nipo site nzuri kupita wote ila huu mtaa kiuhalisia mambo ya kishirikina na kuonekana wivu wa naendeleoni mambo Yao unauza mkaa ila unapigwa vita na muuza maziwa maana hata nilipojenga nilikuwa napokea maneno kuwa umejipanga utaweza?