A
Anonymous
Guest
Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja.
Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya hapo utatakiwa kulipa elfu 70. Kiukwel inaumiza sana bodaboda na Bajaj kwani kiwango hicho ni kikubwa mnoo ukizingatia na hali ya sasa kila kitu kiko juu.
Tunaomba hii tabia ikomeshwe haraka kwani inatengeneza hali ya chuki miongoni mwa raia na Serikali na ukweli watu wamechoka na hiyo tabia.
Pia soma ~ Halmashauri ya Jiji Dar: Hatukamati Wanaoshusha au kupakia abiria bali wanaoegesha kabisa