Uko zako lodge umejifungia umemkunja demu wako Mwanaisha kwenye 5*6 ukifurahia sikukuu unashangaa unakula viboko vya mgongoni vya kutosha kutoka kwa wajuba😁Huo ni upungufu wa maarifa.
Kwa nini ulazimishe watu wote waende peponi?
Ukienda wewe inakutosha
Kukatana stimu kabisa huko hahaha, unakuta jamaa kakukunja kisawasawa hadi unalembua chuma kimekolea moto mara jamaa hawa hapa na marungu yao wanakuja kuharibu mamboAisee 🤔
changamoto sana hapo nigeriaUnahama tu ila kama ujuavyo ukiwa masikini sio rahisi kihivyo kuhama makazi yako ya asili na kubadilisha makazi
Utaenda hata kwa viboko bwasheeHuo ni upungufu wa maarifa.
Kwa nini ulazimishe watu wote waende peponi?
Ukienda wewe inakutosha
Kabila la wa Hausa ndio tatizo NigeriaNigeria ilitakiwa itawaliwe kijeshi na madikteta wasiondekeza dini kama China au igawanywe ziwe nchi mbili Kaskazini na Kusini kila upande ushike hamsini zake.
next week nitajaribu kufuatili hilo jambo nilielewe sema hizi nchi zingine mambo ya dini wangekuja hata hapa bongo kujifunza mi naona tunaenda vizuri sana hapaNigeria ilitakiwa itawaliwe kijeshi na madikteta wasiondekeza dini kama China au igawanywe ziwe nchi mbili Kaskazini na Kusini kila upande ushike hamsini zake.
hausa ndo kabila lao kubwa ama vipiKabila la wa Hausa ndio tatizo Nigeria
Hapana , bali ni kabila la kaskazini mwa Nigeria lililo kwenye utawala wa sharia kwa kiasi kikubwahausa ndo kabila lao kubwa ama vipi
ntalifatilia zaidiHapana , bali ni kabila la kaskazini mwa Nigeria lililo kwenye utawala wa sharia kwa kiasi kikubwa