Mganga mtengeneza vibali kwenda nje ya nchi

Mganga mtengeneza vibali kwenda nje ya nchi

Hebu mganga kawatoe kina kitilya na ile dhahma waliyonayo pale kisutu
 
mkuu binafsi nakumbuka tulikuwa tunakula shushu training DUBAI mwezi mzima, tiketi EMIRATES, per diems nene kila siku x 30 days =....... USD.

Sometime Mwalimu wa Training mmetoka nae hapa ni Mzugaji wa Open university mnaenda na kurudi ndege moja
 
yupo rafiki yangu walienda kozi Computer Applications i.e MS Word, Excel, Powerpoint SWAZILAND (kwa mfalme MSWATI) miezi mitatu akalipwa kama 54 milioni mfukoni (hapo ada ishalipwa chuoni, free laptop, tiketi na malazi yameshalipiwa) hiyo 54m ni yake ya kujikimu
 
Mkuu nimekutumia whatsapp copy ya passport ufanye mambo, nina safari ya China ila boss anabana.
 
And there's probably a couple suckers out there who will actually fall for that shit!

Scratchin' my head!
Mkuu kuna watu hapa Bongo wanatuma pesa Nigeria kupata mamilioni ya pesa za mafuta.
Huyu jamaa atapata watu wengi tu
 
Je wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa nje ya nchi kila mwezi kwa malipo yafuatayo;
Nchi za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi & S. Sudan) = 50,000 (T.Shs).
Kusini & Afrika Magharibi (S. Africa, Botswana, Nigeria, Ghana) = 75,000/=
Asia (China, UAE, Oman & Thailand) = 100,000/=
Ulaya (UK, Netherlands, Germany, Turkey) =120,000/=
America (USA & Canada) =150,000/=
NB: Tuna Uzoefu wa kutosha tumefanikisha safari kadhaa za watumishi wa umma wakiwemo viongozi mashuhuri, MAJIBU NDANI ya SAA 12
UBORA: ISO 9001:2001 Certification
MAWASILIANO: 0777850004
New Loliondo
 
Serikali hailogeki,ukitaka kufuatilia utakuta kila aliyetumbuliwa na wanaoendelea kutumbuliwa utakuta ana mganga wake na alihakikishiwa kutokutumbuliwa lakini katumbuliwa pamoja na kukesha kwa mganga.
na wale wenye joka kubwa ndani ya nyumba mbona huwasemi? Duniani hakuna siri!
 
Blessing itakuwa kashapata pm nyingi mpaka sahvi@mshana jr
Kuna mapashkuna wa JF walitoa mimacho na kuandaa replies zilizosheheni kila neno baya wakidhani ni post yangu
 
It means anadawa yakumfanya magufuri a sign barua hiyo Kali basi atengeneze sawa watu tusife wala kuzeeka
 
Back
Top Bottom