Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Ndio kazi walizobakinazo watu wa mtaa wa pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.You can't be serious!
kibali mpaka kitoke lazima uwe na sababu lukuki bora sangoma umeturahisishia
Kama nisipoenda narudishiwa hela?.. au ndio ile kinachoenda kwa mganga hakirudi.. teh tehJe wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa nje ya nchi kila mwezi kwa malipo yafuatayo;
Nchi za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi & S. Sudan) = 50,000 (T.Shs).
Kusini & Afrika Magharibi (S. Africa, Botswana, Nigeria, Ghana) = 75,000/=
Asia (China, UAE, Oman & Thailand) = 100,000/=
Ulaya (UK, Netherlands, Germany, Turkey) =120,000/=
America (USA & Canada) =150,000/=
NB: Tuna Uzoefu wa kutosha tumefanikisha safari kadhaa za watumishi wa umma wakiwemo viongozi mashuhuri, MAJIBU NDANI ya SAA 12
UBORA: ISO 9001:2001 Certification
MAWASILIANO: 0777850004
Hahaha.
I am looking at this as some modern day Juvenal satire.
That's the most optimistic view.
And there's probably a couple suckers out there who will actually fall for that shit!
Scratchin' my head!
Sangoma hauna dawa ya kuwagangua watu wa Lumumba waludishiwe akili zao?Je wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa nje ya nchi kila mwezi kwa malipo yafuatayo;
Nchi za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi & S. Sudan) = 50,000 (T.Shs).
Kusini & Afrika Magharibi (S. Africa, Botswana, Nigeria, Ghana) = 75,000/=
Asia (China, UAE, Oman & Thailand) = 100,000/=
Ulaya (UK, Netherlands, Germany, Turkey) =120,000/=
America (USA & Canada) =150,000/=
NB: Tuna Uzoefu wa kutosha tumefanikisha safari kadhaa za watumishi wa umma wakiwemo viongozi mashuhuri, MAJIBU NDANI ya SAA 12
UBORA: ISO 9001:2001 Certification
MAWASILIANO: 0777850004
Visa nayo ni masaa 12?wadau jambo hili ni la ukweli majibu ndani saa 12