Mganga mtengeneza vibali kwenda nje ya nchi

Mganga mtengeneza vibali kwenda nje ya nchi

Kachelewa Sana Uchumi Umeyumba Sana Hiyo 50000/-
Naamini Hao Watumishi Wa Safari Hawana
 
Jaribu mkuu usiaminisana jf hatawakipigwa watakwambia ikopoa nawewe ujumuike nao
 
Fanikisha Mh. Rais asafiri wiki hii kwenda Marekani au Ulaya nakutumia mara mbili ya gharama zako kama Mh. akisafiri. Pesa namtumia Ndg. mshana Jr. kama utakubali offer yangu.
 
kwa Huyo jamaa kazi yake ni kumlainisha rais na bosi wake?
ONLY BOGUS MAY TRUST THIS.
 
Je wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa nje ya nchi kila mwezi kwa malipo yafuatayo;
Nchi za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi & S. Sudan) = 50,000 (T.Shs).
Kusini & Afrika Magharibi (S. Africa, Botswana, Nigeria, Ghana) = 75,000/=
Asia (China, UAE, Oman & Thailand) = 100,000/=
Ulaya (UK, Netherlands, Germany, Turkey) =120,000/=
America (USA & Canada) =150,000/=
NB: Tuna Uzoefu wa kutosha tumefanikisha safari kadhaa za watumishi wa umma wakiwemo viongozi mashuhuri, MAJIBU NDANI ya SAA 12
UBORA: ISO 9001:2001 Certification
MAWASILIANO: 0777850004
Kama nisipoenda narudishiwa hela?.. au ndio ile kinachoenda kwa mganga hakirudi.. teh teh
 
aisee mi kuna mchongo wa kozi flan india kama unaweza fanya mambo
 
Hahaha.

I am looking at this as some modern day Juvenal satire.

That's the most optimistic view.

And there's probably a couple suckers out there who will actually fall for that shit!

Scratchin' my head!
 
And there's probably a couple suckers out there who will actually fall for that shit!

Scratchin' my head!

There is no limit to what desperate and gullible people will do, and what unscrupulous and greedy people will do to exploit that truism.

It's the Lucifer Principle, the law of the jungle.

Deep down, despite all the cultural sophistication and educational coatings, we are all animals at some primordial biologically hard wired level.
 
Je wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa nje ya nchi kila mwezi kwa malipo yafuatayo;
Nchi za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi & S. Sudan) = 50,000 (T.Shs).
Kusini & Afrika Magharibi (S. Africa, Botswana, Nigeria, Ghana) = 75,000/=
Asia (China, UAE, Oman & Thailand) = 100,000/=
Ulaya (UK, Netherlands, Germany, Turkey) =120,000/=
America (USA & Canada) =150,000/=
NB: Tuna Uzoefu wa kutosha tumefanikisha safari kadhaa za watumishi wa umma wakiwemo viongozi mashuhuri, MAJIBU NDANI ya SAA 12
UBORA: ISO 9001:2001 Certification
MAWASILIANO: 0777850004
Sangoma hauna dawa ya kuwagangua watu wa Lumumba waludishiwe akili zao?
 
Hope bomba la mafuta la Uganda ulifanya mambo lipite Tanzania badala ya Kenya.
 
Back
Top Bottom