mkuu binafsi nakumbuka tulikuwa tunakula shushu training DUBAI mwezi mzima, tiketi EMIRATES, per diems nene kila siku x 30 days =....... USD.
Hebu mganga kawatoe kina kitilya na ile dhahma waliyonayo pale kisutu
Tatizo siyo kibali tatizo ni visa lazima serikali wakuombee.
Au anatoa na viza.
Mkuu kuna watu hapa Bongo wanatuma pesa Nigeria kupata mamilioni ya pesa za mafuta.And there's probably a couple suckers out there who will actually fall for that shit!
Scratchin' my head!
New LoliondoJe wewe ni mfanyakazi wa serikali na umeathirika na katazo la kutosafiri kwenda nje ya nchi kwa makongamano, semina elekezi na Mikutano? Mganga Maarufu toka Zanzibar anakuhakikishia safari kadhaa nje ya nchi kila mwezi kwa malipo yafuatayo;
Nchi za Afrika Mashariki (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi & S. Sudan) = 50,000 (T.Shs).
Kusini & Afrika Magharibi (S. Africa, Botswana, Nigeria, Ghana) = 75,000/=
Asia (China, UAE, Oman & Thailand) = 100,000/=
Ulaya (UK, Netherlands, Germany, Turkey) =120,000/=
America (USA & Canada) =150,000/=
NB: Tuna Uzoefu wa kutosha tumefanikisha safari kadhaa za watumishi wa umma wakiwemo viongozi mashuhuri, MAJIBU NDANI ya SAA 12
UBORA: ISO 9001:2001 Certification
MAWASILIANO: 0777850004
na wale wenye joka kubwa ndani ya nyumba mbona huwasemi? Duniani hakuna siri!Serikali hailogeki,ukitaka kufuatilia utakuta kila aliyetumbuliwa na wanaoendelea kutumbuliwa utakuta ana mganga wake na alihakikishiwa kutokutumbuliwa lakini katumbuliwa pamoja na kukesha kwa mganga.
Kuna mapashkuna wa JF walitoa mimacho na kuandaa replies zilizosheheni kila neno baya wakidhani ni post yanguBlessing itakuwa kashapata pm nyingi mpaka sahvi@mshana jr
Sina Mbavu ! na stress hizi hii post imenifurahisha has response za potential customersKweli taperi hana aibu